Babu zake na mwanamuziki Prince Dully sykes

Hawa watu na familia yao ni tunu ya taifa, Mungu awape rehema ya kudumu, wanaoipuuza hii familia Mungu anawaona.
 
Sio tu walikua wanajeshi lakini pia walikua ni matajiri na Familia kubwa katika Jiji la mzizima.Mmojawapo kati yao ndiye alikua meneja wa soko la kariakoo hicho ni kipindi ukoloni wa Waingereza.

Kumbukeni pia kwa miaka hiyo hao jamaa walikua wanamiliki magari aina ya Benzi,Wana mchango mkubwa Sana kwenye harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika ,Waendelee kupumuzika kwa Amani.
 
Wakazaa mtoto muanzilinzi wa bongo fleva
 
Kama walikuwa wanajeshi kwanini wapumzike kwa amani...waendelee kupambana kwa nguvu zote huko..maana mr shetani anatuzingua sana yani
 
History mbona imewapotezea inamzungumzia Nyerere peke yake?
 
History mbona imewapotezea inamzungumzia Nyerere peke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…