sarah6
Senior Member
- May 24, 2013
- 134
- 57
hahaaaDuh Babu Tale nae ni meneja alafu hata ABC's za kampuni hana kwa kifupi kwenye hii ishu Tale kanasa kwenye nyavu ni bora akubali wayamalize nje ya mahakama kama vipi amnunulie ustaadh kanzu mpya,msuli,makubasi na kofia pamoja na plate za biriani ili amtulize ndio ugonjwa wao huo.