Babutale aeleza yake kuhusiana na amri ya mahakama ya kukamatwa na kumlipa sheikh

hahaaa
 
Kama kumbu kumbu zangu ziko vizuri msanii anayemsimamia alitangazwa magazetini kuwa ana utajiri mkubwa sana. ...nadhani hata yeye atakuwa na hela so asipende maneno amlipe tu wayamalizee.
 
Naona n bora alipe kama den n la kwel mana itampunguzia adhabu ya kaburi marehemu kaka take pia itampa swawabu kwalifanya jambo ilo ila itakua.kwa mdai inabidi awe na utu kidogo mana hapo inaonekana mkataba ulifanyika kat ya marehem na ostadh kwahiyo mama ostadh anaijua dina atumie a
 
Kampuni inadaiwa...kampuni ina wakurugenzi...babu Tale ni mkurugenzi...hili deni linamhusu aisee...
Itakula kwake if it was a partnership. But again partnership hufa when one member dies. Sasa kama alisaini biashara na kampuni, then huyo Babu Tale hana kesi. Itakayoshtakiwa ni kampuni na sio shareholder
 
Babu Tale ni mishen town huyo mpigaji sana ndo.mana MB Dogg kakimbia zake anauza Vinyago Ulaya
 
Kampuni inadaiwa...kampuni ina wakurugenzi...babu Tale ni mkurugenzi...hili deni linamhusu aisee...
Inadaiwa kampuni sio Babu Tale. Aki declare bankruptcy hamna kesi maana mali ni za Babu Tale sio Tip Top
 
Hiyo kampuni kama ni Limited by Share means Ustaadh anapaswa kulipwa kile tu kinachomilikiwa na Kampuni, na sio mali binafsi za wamiliki wa kampuni,huu ni mlango wa pili wa kutokea. Sasa sina uhakika kampuni kama kampuni inamiliki assets gani maana kibongo bongo siku hizi kampuni sio ofisi kubwakubwa,hata laptop moja tu yenye modem na printer yake ni asset tosha kabisa.
 
Alipe tu hana njia la kukwepa kwa hilo. Kulingana na sheria za kampuni hapo hashitakiwi Babu Tale bali ni kampuni.

Hata akiuza mali watampata tu kwani wakati wa kufilisi kampuni wata trace mali zote zilizouzwa wakati wa mzozo na kurejeshwa.

Wanajamvi, kwa wakati huu usikubali kununua hata peni ya Tip Top Connection itakula kwako.

Tale asijitetee ki layman, sheria ina mambo yake.
 
Tale bana! Mlipoanzisha kampuni,mlipeleka majina,kama mmegawana mbao hamkutangaza kufilisika au mmoja kujitoa,aliebaki hai itabidi abebe mzigo
 
Elimu ni muhimu sana hapo kuna sehemu anaconfess kuwa kuna kitu anakijua au ila mwisho akamaliza na "I know nothing" hahaha
 
Elimu tatizo kwa bwana Babu tale....[emoji23][emoji23][emoji23],anakubali yeye ni miongoni mwa wamiliki wa kampuni lakini anagoma kulipa ,amekufa kaka lakini kampuni iliyoshtakiwa IPO...hapo alipe tu,au akate rufaa
Kadai waligawana fito za kampuni, wakati huo huo hawajawahi toa tangazo lolote juu ya ku_dissolve company
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…