Babutale: Zuchu akitaka kuondoka alipe bilioni 5

Babutale: Zuchu akitaka kuondoka alipe bilioni 5

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Harmonize aliondoka kwa Milioni 500

Rayvanny ni kama ameondoka kimaigizo ila kalipa nae milioni 500

Zuchu bilioni 5.

Off course huwa kuna kumkuza mtu brand yake na kumtengeneza awike, lakini hivi viasi vya pesa huwa sawa ?

Is it fair?
 
Wabongo tujifunze kuheshimu mikataba,
Kama aliridhia kipindi anasaini, asije kutia huruma baadae.
Na kwa wasanii wanasaini mkataba ilimladi ili kutoka kwenye uanderground na kuwa brand, baadaye kutaka kutoka ndo ngoma.
 
Nilivyoona jina la babutale nikakumbuka clip yake alisema waziri amemwambia tale una kitu utafika mbali🤣🤣🤣🤣
Kuanzia hapo sijawahi ona kama jamaa yuko serious so hata hii statement nahisi karopoka tu🤣🤣🤣
 
Hapo tu anatumika na Boss. Vipi kama angekuwa hatumiki, si angedaiwa biliomi kumi!
 
Back
Top Bottom