Babuu wa kitaa na media (Tv)

@ Raiza

tafadhali naomba utoe plate number...... ana hiyo gari hadi leo?? da! jamaa anajifanyaga brother man sana, full kujishaua na kujiona ona.... halafu Raiza, vipi kipato, ni kweli jamaa anakula pesa ndefu hapo mjengoni au ndio kujisifia

Nimekushtukia!!!
 
Nani kasema analipwa hela nyingi??? Aliekwambia ni muongo analipwa kama watu wengine ila analipwa mpaka kipindi chake kiruke hewan kwa sasa yupo yupo tuuu hana kipindi pale na alisha wahi kufukuzwa na akaombewa msamaaha na washikaji zake walio muombea kazi na akasamehewa . Nani anaema eti presenter hausomei ahahha wewe hata kama kipaji lazima ukipata kazi upige coz ya muda ili ujue matumiz ya vifaa vya ofisi inaamana utatangaza tuuu bila kucontro mashine???? Hapana hata huyo mchomvu, b .a wanajua wanafanya nini kifupi tuu adam mchomvu licha ya kipaji alisoma Dsj na sio pekeake hata waatangazaji wengine huwa wanaenda kozi fupi sawaaaaaa niahayo tuuuuu.
 
uzi wa mwaka 2013 , leo zitafukuliwa nyingi tu. kweli nimeamini lisemwalo lipo...............
 
Kahojiwe na kipanya ndo utajua ni mchoraji katuni tu
 
Tatizo watu wanaropoka wasivyovijua...huyu hata asipofanya kazi ni mtt wa kigogo kiufupi huyu na kina ridhiwani ni baba mmoja mama tofauti hivyo pesa mingi..kuwa clouds ni bosheni tu by the way mwenyezi mungu amponye cancer mwanetu.
Hivi ni cancer ya nini?
 
Wewe ndo unae mfahamu kiundani harafu unatuuliza sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…