Babuu wa kitaa na media (Tv)

Babuu wa kitaa na media (Tv)

@ Raiza

tafadhali naomba utoe plate number...... ana hiyo gari hadi leo?? da! jamaa anajifanyaga brother man sana, full kujishaua na kujiona ona.... halafu Raiza, vipi kipato, ni kweli jamaa anakula pesa ndefu hapo mjengoni au ndio kujisifia

Nimekushtukia!!!
 
Nani kasema analipwa hela nyingi??? Aliekwambia ni muongo analipwa kama watu wengine ila analipwa mpaka kipindi chake kiruke hewan kwa sasa yupo yupo tuuu hana kipindi pale na alisha wahi kufukuzwa na akaombewa msamaaha na washikaji zake walio muombea kazi na akasamehewa . Nani anaema eti presenter hausomei ahahha wewe hata kama kipaji lazima ukipata kazi upige coz ya muda ili ujue matumiz ya vifaa vya ofisi inaamana utatangaza tuuu bila kucontro mashine???? Hapana hata huyo mchomvu, b .a wanajua wanafanya nini kifupi tuu adam mchomvu licha ya kipaji alisoma Dsj na sio pekeake hata waatangazaji wengine huwa wanaenda kozi fupi sawaaaaaa niahayo tuuuuu.
 
uzi wa mwaka 2013 , leo zitafukuliwa nyingi tu. kweli nimeamini lisemwalo lipo...............
 
kitaaaaaaaaaaa.jpg
 
Una CV za kila mtu mkuu? Kukusaidia ni kwamba kuwa TV presenter haihitaji elimu ya kuprofessionalize bali kipaji zaidi ila kwa wale wanaotaka kubobea ndo wanaweza kwenda chuo, na kozi zao sio ndefu tena sanasana ni training na seminars ndo zina waboost.

Turudi kwa Babuu, hana ukali wa kuajiliwa na media zinazohitaji usiriaz wa kazi yeye ataajiriwa na media zinazosikkilizwa na wasiojali ubora bali wapate wanachokihisi. Naona hiyo itakuwa ni bahati na wala sio elimu tena. Aliajiriwa Kipanya mchora katuni
Kahojiwe na kipanya ndo utajua ni mchoraji katuni tu
 
Tatizo watu wanaropoka wasivyovijua...huyu hata asipofanya kazi ni mtt wa kigogo kiufupi huyu na kina ridhiwani ni baba mmoja mama tofauti hivyo pesa mingi..kuwa clouds ni bosheni tu by the way mwenyezi mungu amponye cancer mwanetu.
Hivi ni cancer ya nini?
 
jamani naombeni kufahamu taaluma ya Babuu wa Kitaa, Nimeshituka sana kuambiwa kuwa naye ni miongoni mwa TV presenters ya TV station fulani hivi hapa mjini na tena analipwa pesa ndefu sana kuliko presenters wote wa kituo hicho...

ninamfahamu huyu jamaa kama muhuni tu, mlevi, mvutaji, na mgomvi akilewa, sifahamu wala sina kumbukumbu ya chuo cha habari alichopitia hadi akawa kwenye media leo...

swali ni je kweli huyu jamaa yuko kwenye media siku hizi? mwenye kumfahamu zaidi naomba atujuze...
Wewe ndo unae mfahamu kiundani harafu unatuuliza sisi?
 
Back
Top Bottom