understanding
Member
- Feb 17, 2013
- 75
- 34
jamani naombeni kufahamu taaluma ya Babuu wa Kitaa, Nimeshituka sana kuambiwa kuwa naye ni miongoni mwa TV presenters ya TV station fulani hivi hapa mjini na tena analipwa pesa ndefu sana kuliko presenters wote wa kituo hicho...
ninamfahamu huyu jamaa kama muhuni tu, mlevi, mvutaji, na mgomvi akilewa, sifahamu wala sina kumbukumbu ya chuo cha habari alichopitia hadi akawa kwenye media leo...
swali ni je kweli huyu jamaa yuko kwenye media siku hizi? mwenye kumfahamu zaidi naomba atujuze...