Babuuu huyoo Loliondo

Babu kweli ni mponyaji, angelikuwa tapeli watu wasingejazana hivi!
 
Babu delivers bana! Pamoja na matatizo yote ya maji, kuni, nk hadi hivi leo, sijasikia babu kashindwa kutoa dozi zake kutokana na wingi wa wagonjwa. Long live babu! :teeth:
 
I know but Yesu anaweza kuja kwa njia nyingi



amen roza akumbuke mfalme naamani aliponywa kwa matope..kulikuwa na maji angenawa akaponywa kwa nini alifwata matope..omba jicho lo rohoni usione mwilini tu
 
amen roza akumbuke mfalme naamani aliponywa kwa matope..kulikuwa na maji angenawa akaponywa kwa nini alifwata matope..omba jicho lo rohoni usione mwilini tu

Pdiddy kila siku nakuambia mfalme Naamna hakuponywa na tope jamani, aliambiwa na Nabii Eliya akaoge Jordan mara saba, aliyepakwa matope ni kipofu akaambiwa akanawe kwenye birika la Siloam
 
amen roza akumbuke mfalme naamani aliponywa kwa matope..kulikuwa na maji angenawa akaponywa kwa nini alifwata matope..omba jicho lo rohoni usione mwilini tu
Umechemka! Hakuna kisa cha 'mfalme' Naaman aliyeponywa kwa tope. au hiyo iko kwenye hekaya za abunuwas??? Pia aliyeponywa hakuwa mfalme...
 
Hivi kwa babu wanakwenda na vikombe vyao au wana vikuta huko huko?
 
Huyu babu ni muakilishi wa mungu hapa duniani, ingekuwa binadamu wa kawaida angekuwa anachoka, anagawa dozi mchana na usiku na yuko bomba tu.
 
ingekuwa ni wakati ule wa kura za maoni za ccm ungekuta watu wanatangazia nia pale
 
Hapana: Inabidi serikali ifanye kauchunguzi kadogo.

Ichukue wagonjwa wa ukimwi hivi kutoka ma-hospitalini , wawapeleke kinyemela kwa babu wanywe hiyo dawa, na baada ya mda tena wawapime kuona matibabu ya babu kama ni ya kweli ama longolongo.
 
Huyu babu ataua watu mpaka basi. Babu anawaambia watu ARVs waache. Aisee yani kweli nimeamini Africa bora universities tuzichome moto au kizigeuza maeneo ya kuchinja wanyama (abattoire). Karne ya 21 ati, watu wako kwenye nano engineering and quantum computing sie tunachemsha majani machungu. Huyu babu anajua nini kuhusu ARVs? Yani Tanzania kweli kuna vichekesho. But ignorance is bliss..Oh well.
 
Hapana: Inabidi serikali ifanye kauchunguzi kadogo.

Ichukue wagonjwa wa ukimwi hivi kutoka ma-hospitalini , wawapeleke kinyemela kwa babu wanywe hiyo dawa, na baada ya mda tena wawapime kuona matibabu ya babu kama ni ya kweli ama longolongo.


Anyone trained as a scientist who takes part in that experiment will be a joke. Haiwezekani, hii kitu ya watu kupona ni kitu kinaitwa placebo. Ukweli ni kwamba akili ya binadamu inauzwezo wakutoa nafuu pale ambapo imani inakuwepo kuwa mgonjwa atapona, kama ilivyo kwamba stress za ghafla ama mshtuko waki saikolojia unaweza kusababisha matatizo yakimwili kama kuzimia, presha ya damu kubadilika, kupata maambukizi ya magonjwa vizia. Haiwezekani kukawa na dawa ambayo ili ifnaya kazi lazima upewe na mtu fulani. Haiwezekani na hizi imani ni potofu na inadhihirisha jinsi gani watu wako tayari kuamini chochote pale ambapo hawana njia mbadala ya tiba inayotoa matumaini makubwa.

Ndani ya miezi kadhaa ukweli utajulikana na itakuwa vizuri sana kama dawa hii itakuwa kweli. Lakini kama mwanasayansi maarufu na shupavu marehemu Dr. Carl Sagan alivyosema:

'Extraordinary claims erquire extraordinary evidence.'

Kwahiyo kwa sasa the onus lies with babu na watetezi wake kuonyesha kuwa dawa hii inafanya kazi. kama serikali itajaribu kutatua utata huu itakuwa vyema sana ili ukweli ujulikane. Mimi nasimama upande unaosema kwamba hamna kitu kama dawa ambayo haizingatii uwezowake wa kikemikali bali unahitaji kono wa flani ili kufanya kazi. Hiyo inaingiza mjadala katika nyanja za 'frindge' ama vitu visivyofuata the physical laws of nature. Mpaka hapo watakapo onyesha ukweli kuwa kinyume na msimamo huu, hizi habari zinaleta mashaka sana...!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…