Wajanja wanapopewa chai na kuambiwa ni dawa. Kweli watanzania tumeanza kufirisika kimawazo kila jambo TUTALIAMINI kwa kuwa hakuna pa kushika.
Yaani huyon jamaa mwenye kikombe chekundu ni kama anasema"" tayariiiii""" maaana unaweza kukuta kasubili kwa wiki saba.
Thidanganyikiiiiiiiiiiiiii na manabii wa uongo waliotabiliwa kwenye bibilia....
Wazo zuri lakiniHapana: Inabidi serikali ifanye kauchunguzi kadogo.
Ichukue wagonjwa wa ukimwi hivi kutoka ma-hospitalini , wawapeleke kinyemela kwa babu wanywe hiyo dawa, na baada ya mda tena wawapime kuona matibabu ya babu kama ni ya kweli ama longolongo.
Hahahahhaha mbavu zangu weee. Ebana umenichekesha sanaaa. Yani hii hii kwangu ni statement ya mwaka! Hahhahaha.Tatizo letu hata hatulijui. Wote tuko kama wagonjwa wa vichaa. Kila mtu anamwona mwenzake ndiye mgonjwa na kwamba yeye mwenyewe ni mzima. Ila tatizo langu ni moja tu...kwamba nchi yetu ina laaana gani kwamba hata kama sote tu vichaa asiwepo kichaa mwenye unafuu kidogo akatukomboa?
"... watu kama huyu mama ndio wanapotosha Umati mkubwa wa tanzania.. na kuzidi kuwashindilia fikra za kimaskini.. ! someties naona kama movie flani hivi "the gods must be crazy" babu katurudisha karne ya 19 ..Yaani mimi kufika eneo hili tu sijapata tiba lakini tumbo halijaniuma siku tatu"
Huyu babu ataua watu mpaka basi. Babu anawaambia watu ARVs waache. Aisee yani kweli nimeamini Africa bora universities tuzichome moto au kizigeuza maeneo ya kuchinja wanyama (abattoire). Karne ya 21 ati, watu wako kwenye nano engineering and quantum computing sie tunachemsha majani machungu. Huyu babu anajua nini kuhusu ARVs? Yani Tanzania kweli kuna vichekesho. But ignorance is bliss..Oh well.
Nilikuwa nasikiliza BBC kiswahili asubuhi ya Leo.. kuna mama mmoja alitoa comment ya ajabu eti "... watu kama huyu mama ndio wanapotosha Umati mkubwa wa tanzania.. na kuzidi kuwashindilia fikra za kimaskini.. ! someties naona kama movie flani hivi "the gods must be crazy" babu katurudisha karne ya 19 ..
Tatizo letu hata hatulijui. Wote tuko kama wagonjwa wa vichaa. Kila mtu anamwona mwenzake ndiye mgonjwa na kwamba yeye mwenyewe ni mzima. Ila tatizo langu ni moja tu...kwamba nchi yetu ina laaana gani kwamba hata kama sote tu vichaa asiwepo kichaa mwenye unafuu kidogo akatukomboa?
Lakini watu wanapona kwa Babu na wameshatoa ushuhuda huo, sasa unataka nini? Ni hiyari ya mgonjwa mwenyewe kwenda kwa babu au hospitalini.
AFRIKA HAKUNA MATATA!! ... hehehe!! Hii picha inathibitisha wazi wa TZ tunavodanganyika kirahisi na tunavyopenda njia za mkato.
DAWA YA UKIMWI NI MOJA TU!!! ACHA NGONO ZEMBE!! ..
Kuna muda mwingine nahisi kama ni kamradi fulani ka Lowasa!!!! maana hela itakayokusanywa hapo ni zaidi ya billions aiseeeeee.....
Wazo zuri lakini
suala la imani ni la mtu binafsi,ili upone kwa babu sharti uamini kwamba utapona,JE UNAUHAKIKA KWAMBA HAO AMBAO SERIKALI ITAWAPELEKA KWA BABU KINYEMELA WATAKUWA NA IMANI KWAMBA WATAPONA?Huu si mchezo wa kubahatisha.
Yaleyale ya DECI.
Babu amepokea neema ya kuifanya hiyo kazi kwa niaba ya mamlaka iliyo juu ya uwezo wetu sisi binadamu.
.
Look my ignorant friend. The world to you seems mysterious but for all the wrong reasons. We understand the basic laws of physics and from that is derived the world as we see it. from Quarks, gluons, electrons, and other elementary particles the atoms are build and from them everything else. We know this for sure because we have seen it. We have proved the existence of these things. And the particles interact with the fundamental forces. What this man is suggesting makes him either an elect of God or a liar. I'll tell you why. You cannot claim that a chemical in a plant works only if administered by you. That is nonsense. It defies the laws that predicted black holes and make GPS systems work. Remember planes would not fly and land as they do nor would we be able to send probes to Mars if these laws where false. This man is simply chatting shit in all likelihood, alternatively he is an elect of God as I said. If you ask me, he is either delusional or....sijui. TIme will teLL."Huyu babu anajua nini kuhusu ARVs?"
una uhakika gani kama hajui, na kama mtu amepona kuna haja gani ya kutumia ARV's?
.
Babu amepokea neema ya kuifanya hiyo kazi kwa niaba ya mamlaka iliyo juu ya uwezo wetu sisi binadamu.
.