Baby Come Back.........

Don worry AD...nishawagawia ban zao!

mmmmhhh jamani
asante sana yaani..
mmhh hembu tuacheni..

kila thread nikiingia lazima nikutane na haya...
mmmhhhh tupeni nafaasi ya kupumua kidogo jamani...
 
mmmmhhh jamani
asante sana yaani..
mmhh hembu tuacheni..

kila thread nikiingia lazima nikutane na haya...
mmmhhhh tupeni nafaasi ya kupumua kidogo jamani...
Dena ametuchonganisha halafu kakimbia Mama watoto usiwasikilize majirani wanataka kuharibu ndoa yetu
 
Psss! mwindaji mwenzangu AD na TF hawaongei hii chance yetu kule usisema sijakustua.
Ati nini? Uporoto unataka kuniua kabla sijafa ili umrithi mama watoto wangu nione mtu anasogeza mguu wake
 
Dena ametuchonganisha halafu kakimbia Mama watoto usiwasikilize majirani wanataka kuharibu ndoa yetu

we coma..
mie nimekuja huku
nikadhani nita kuta maneno kama haya

"Babe come back to me"
"i dont wana be free"

insted nakutana na we na nyumba ndogo nado mnatesa..
mie niache niende wapo wengi watakao furahi..

mmhhhh cha ajabu kila mtu anajua tumegombana...
 
Ati nini? Uporoto unataka kuniua kabla sijafa ili umrithi mama watoto wangu nione mtu anasogeza mguu wake

mbona mie siwi mkali ..
mkuki kwa ngurue..
mmmhhh

na we ulikuwa unamaanisha nini hapa??
Originally Posted by Pearl

haliwezi kuendelea bby boy!cme over and uje pata heavy breakfast ya matumbua yalonona!achana na chapat transparent!

The Finest= On my way
 
Hii inaapply hata mkiambiana kwa hasira?.hamna 2nd chances?

tracy,

Katika uhusiano timilifu "hasira" haiwezi ku-lead mtu kuwa provocative - no, never... Ukiona mwenzio anakasirika katika mahusiano na anakuita "we mbwa hebu toka hapa" - lazima huelewe kuwa alishakuita mbwa "kimoyomoyo" a million times, kwahiyo hasira ni "catalyst" tu.. Vile vile ukiona Baba_Enock anarudi nyumbani amepinga kama Serengenti kumi halafu anagonga mlango kwa mateke na huku akimtukana Mama_Enock na kumuita "we Malaya fungua mlango" - fahamu kuwa kuna "Mama_Enock wa pili"

Kwahiyo, in principal and practice, the so called "second chance" ni unafiki tu - Na normally kwenye ndoa huwa ni njia pekee ya ku-protect interests of either side - be it Watoto, Mali, Fame, e.t.c na siyo kwamba hiyo samahani anayokuomba ili mrudiane ni genuine! Not at all.

But the good thing is couple nyingi zinaishi kwa kuombana samahani day-in day-out::: and life goes on, but in real sense huwa mapenzi yanaisha by the time unapokuwa provocative kwa mwenzi wako.

Have you guys ever wondered kwa nini vyakula vyote vinavyopikwa kwenye sehemu za starehe vinaisha kabla ya saa tano usiku? Kwa mfano kuanzia Tegeta kwa Ndevu mpaka Kibira Bunju A, kuna baa after every 50 metres na zote zinatengeneza michemsho na nyama choma nyingi tu, lakini by saa sita usiku majiko huwa yamefungwa! The simple and obvious answer is "Families are no longer EATING together"! Baba anakula baa Mama anakula gesti - simple as that!

Why? Baby Come Back ... Does not hold water!
 
Ati nini? Uporoto unataka kuniua kabla sijafa ili umrithi mama watoto wangu nione mtu anasogeza mguu wake
Mi wala siongei msome mwenyewe hapa chini.

Ya nini malumbano.... 20%
 
Dah! Mbona unakuwa mkali hivyo dnt u remember what we have gone thru me and you
 
Mi wala siongei msome mwenyewe hapa chini.

Ya nini malumbano.... 20%
mmmhh Uporoto na we kaa pembeni

matata ya muke na mume usiingilie
piripiri usiokula inakuwashia nini
lol"SIMBA MAPANGALA"

hahahah lol
 
Dah! Mbona unakuwa mkali hivyo dnt u remember what we have gone thru me and you

sweet heart nakumbuka kila kitu
ndoo maana roho yaniuma sana
kuona unanitekeleza mbele ya macho yangu..
naona penzi letu la dhati limefika mwisho..
leo ndo naamini what goes up must come down..

mmmhhh mie inaniuma sana lakini itabidi
nikuage...
bado ntazidi kukumbuka muda wote mzuri tuliopitia
espacialy mara ya kwanza tulipokutana..
mie nalia kwa uchungu sana..
na hakuna wakunifuta machozi...

mie bado nakupenda lakini umenitekeleza baada ya kuizalisha,,
sina la kusema ila safari njema..
usiwasahau watoto wako tu naomba....
sina hamu ya maisha dunia imenilemea...
 
mmmhh Uporoto na we kaa pembeni

matata ya muke na mume usiingilie
piripiri usiokula inakuwashia nini
lol"SIMBA MAPANGALA"

hahahah lol
Mama watoto i have arranged dinner for two leo kwahiyo nakusubiria utoke ofisini i'll be waiting
 
Mama watoto i have arranged dinner for two leo kwahiyo nakusubiria utoke ofisini i'll be waiting

haka
hata usihangaike..
we wa weza kula pande mbili...

borea nikuachie uhuru wako...
sasa huna maana yeyote ya kudanganya
au kujificha .. dunia yote yako na Pearl..
wish u happy ending...
 
Sijakutelekeza mama watoto ila ni watu wanataka waone mimi na wewe tunafarakana ili wao mwisho wa siku wafurahie you know how much i care about you
 
haka
hata usihangaike..
we wa weza kula pande mbili...

borea nikuachie uhuru wako...
sasa huna maana yeyote ya kudanganya
au kujificha .. dunia yote yako na Pearl..
wish u happy ending...
Hivi unaamini watu wanayosema juu yangu mimi?
 
Sijakutelekeza mama watoto ila ni watu wanataka waone mimi na wewe tunafarakana ili wao mwisho wa siku wafurahie you know how much i care about you

if u real care about me just answer this one question please..

nataka tu kujua unampenda nani kimapenzi kati yangu Afrodenzi na Pearl..????
naomba usikatishe kona...
 
haka
hata usihangaike..
we wa weza kula pande mbili...

borea nikuachie uhuru wako...
sasa huna maana yeyote ya kudanganya
au kujificha .. dunia yote yako na Pearl..
wish u happy ending...
Mama watoto mimi na wewe hatujagombana ila watu ndio wanatugombanisha
 
Hivi unaamini watu wanayosema juu yangu mimi?

hata siku moja ndo maana ndoa yetu imedumu miaka 15....

lakini haya mambo wewe uliyasema mwenyewe kwa mwanamke wako wa nje
halafu unasingizia kuna mtua aliiba password ...
naona unataka kunifanya mtoto...
 
if u real care about me just answer this one question please..

nataka tu kujua unampenda nani kimapenzi kati yangu Afrodenzi na Pearl..????
naomba usikatishe kona...
Habari yakee banaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…