Baby Come Back.........

Baby Come Back.........

Hujahisi vibaya kumnyang'anya tonge mdomoni mwenzio,ulipoona juhudi zake ungemwachia alikosea step kidogo na kujua kosa lake.
......haikuwa ngumu kwani nilijiweka pembeni hadi wamalizane nadhani kile kipindi cha kukaa kando ndo Mr. akamega.........sijui iliishia wapi maana Mr alikuja na ushahidi kuwa wamemalizana na mdada ameelewa kwa sababu wakati mie nakutana na Mr wao walikuwa walishaachana kama miaka 2 ilishapita..... so at least sikumnyang'anya tonge mdomoni.
 
Rule no. 1. mwenza ni kama sigara, ikimaliza moja unawasha nyengine.
Rule no 2. karne hii hakuna mapenzi, ukiamini sana kwamba unapenda au unapendwa basi karipoti kwa daktari wa akili, huenda una matatizo flani.

ukibalance hizo 2 conflicting rule nazani tunaweza tukasema sredi closed.
 
This matter, being discussed deeply, perpendicularly, solidly and comprehensively, NOW assume

'Baby' = Ndovu ya kopo

Will the 'baby come back' theory hold?
 
Rule no. 1. mwenza ni kama sigara, ikimaliza moja unawasha nyengine.
Rule no 2. karne hii hakuna mapenzi, ukiamini sana kwamba unapenda au unapendwa basi karipoti kwa daktari wa akili, huenda una matatizo flani.

ukibalance hizo 2 conflicting rule nazani tunaweza tukasema sredi closed.
Psss! mwindaji mwenzangu AD na TF hawaongei hii chance yetu kule usisema sijakustua.
 
Sijawahi kuexperience ila itakapotokea anasitisha uhusiano kwa mbwembwe sitorudiana nae hata alie chozi la damu.
Kama ugomvi itategemea.
Maumivu lazima yawepo ata kama uhusiano unasitishwa kwa amani.
 
MwanaJamiiOne:

Whatever happened mpaka mkafikia kusema "sasa basi" will always haunt your soul and mind! Hakuna any sense of Love baada ya hapo.. Normally kinachotokea ni kwamba wote wawili baada ya "kuachana" huko mlikoelekea kumaliza upweke wenu mlikutana na "ghosts" as the result and probably coincidentally ndiyo "jitu" linakuja na kusema " oh you know this oh you know that..and a lot of blah's...!

Baby come back is a failure in itself.. Things will never be the same - No way!
Hii inaapply hata mkiambiana kwa hasira?.hamna 2nd chances?
 
Tena mnastahili seva ban......:ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban:
Kama Mod no.1 unatakiwa ukimban mtu unasema na sababu ili wasirudie tena........tutajuaje kama huact under your personal impulses? Usimwonee Babu Kimey..........sema kosa
 
Najiuliza tu....how do people feel when they are facing this kind of situation..

Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa mbwembwe/Ugomvi/maumivu) e.t.c but after a while anarudi na kukuomba mrudiane..................

What kind of feelings do people get?? Imeshawahi kukutokea? How did you feel and what was your reaction??

Mapenzi ah......................

If she has messed up with the VERY love..aisee ,hapo no 2nd chance....gotta go.....,for other reasons which don't tear up the very SOFT POINTS....aaah,mbona msamaha sana tu.
 
Kama Mod no.1 unatakiwa ukimban mtu unasema na sababu ili wasirudie tena........tutajuaje kama huact under your personal impulses? Usimwonee Babu Kimey..........sema kosa
Dah thats why I like you mjukuu, yaani makabaila wanakuja na mbinu mpya kabsaa na mjukuu umeligundua hilo ukakemea....
kwa afya yangu na yako kamata hii hapa chini
The Following User Says Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:

Kimey (Today)​
 
Tena mnastahili seva ban......:ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban:
Kama nawe ulikuwa unasubiri karibu tu,ushindani muhimu

Kama Mod no.1 unatakiwa ukimban mtu unasema na sababu ili wasirudie tena........tutajuaje kama huact under your personal impulses? Usimwonee Babu Kimey..........sema kosa

Kuna nafasi imetokea nikamstua klorokwini nashangaa jamaa kukasirika hivi.
 
:Cry::Cry::Cry::Cry: why me!!

Kama Mod no.1 unatakiwa ukimban mtu unasema na sababu ili wasirudie tena........tutajuaje kama huact under your personal impulses? Usimwonee Babu Kimey..........sema kosa

Dah thats why I like you mjukuu, yaani makabaila wanakuja na mbinu mpya kabsaa na mjukuu umeligundua hilo ukakemea....
kwa afya yangu na yako kamata hii hapa chini
The Following User Says Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:

Kimey (Today)​

Kama nawe ulikuwa unasubiri karibu tu,ushindani muhimu

Kuna nafasi imetokea nikamstua klorokwini nashangaa jamaa kukasirika hivi.

Kwenye hiyo ban namwongeza na MJ1 (na yeyote atakayehoji ban zenu).....
Hakuna haja ya sababu....
 
Back
Top Bottom