MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
- #261
......haikuwa ngumu kwani nilijiweka pembeni hadi wamalizane nadhani kile kipindi cha kukaa kando ndo Mr. akamega.........sijui iliishia wapi maana Mr alikuja na ushahidi kuwa wamemalizana na mdada ameelewa kwa sababu wakati mie nakutana na Mr wao walikuwa walishaachana kama miaka 2 ilishapita..... so at least sikumnyang'anya tonge mdomoni.Hujahisi vibaya kumnyang'anya tonge mdomoni mwenzio,ulipoona juhudi zake ungemwachia alikosea step kidogo na kujua kosa lake.