Baby Come Back.........

if u real care about me just answer this one question please..

nataka tu kujua unampenda nani kimapenzi kati yangu Afrodenzi na Pearl..????
naomba usikatishe kona...
Unataka nikujibu hapa now now public bila kificho?
 
Mama watoto mimi na wewe hatujagombana ila watu ndio wanatugombanisha

naomba ujibu hilo swali nililokuuliza
amasivyo ntaacha kuongea na we kabisaaaa
halafu haya maongezi ndo yatakuwa yameisha bila msuluhisho..
 
hata siku moja ndo maana ndoa yetu imedumu miaka 15....

lakini haya mambo wewe uliyasema mwenyewe kwa mwanamke wako wa nje
halafu unasingizia kuna mtua aliiba password ...
naona unataka kunifanya mtoto...
yani mmeshafunga ndoa humu humu, sasa hivi mnagombana........ninahakika mtaachana humuhumu.........na mm nipo nangoja kum-console Afrodenzi.

Kimpango mkakati zaidi..........a sholder to cry on.
 
Unataka nikujibu hapa now now public bila kificho?

pingu za maisha tulifunga kanisani mbele ya watu wote..
kama unaniacha niache mbele ya kila mtu..
na kama unanipenda onesha kwa kila mtu..
sasa go ahead na sema jibu lako...
 
yani mmeshafunga ndoa humu humu, sasa hivi mnagombana........ninahakika mtaachana humuhumu.........na mm nipo nangoja kum-console Afrodenzi.

Kimpango mkakati zaidi..........a sholder to cry on.

mmmhhhh jamani tuachni kwa muda kidogo ..
haya mambo mazito sana..
 
yani mmeshafunga ndoa humu humu, sasa hivi mnagombana........ninahakika mtaachana humuhumu.........na mm nipo nangoja kum-console Afrodenzi.

Kimpango mkakati zaidi..........a sholder to cry on.
Hii ndo tunaita kuokota embe dodo chini ya mbuyu!!
 
pingu za maisha tulifunga kanisani mbele ya watu wote..
kama unaniacha niache mbele ya kila mtu..
na kama unanipenda onesha kwa kila mtu..
sasa go ahead na sema jibu lako...
I love with you all my heart,mind and soul
 
I love with you all my heart,mind and soul

nimekuuliza unampenda nani kimapenzi zaidi
maana najua kwenye nyumba yako ndogo ndo ulichokifuata....

kwa hiyo nataka useme jina langu au huyo dada wa huko nje(pearl)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…