afro denzi the one and the only
Pamoja ya wewe AD kukubali yaishe jina la mbaya wako halijatajwa kuwa unapendwa zaidi yake kama ulivyoomba awali,nawasilisha hoja.i love you to huny buny
im so happy u come back to me....
Mkiachana kwa shari mara nyingi si vema kurudiana kunakua na 'too much bad blood' lakini kuna rafiki yangu waliachana vibaya na mpenzi wake lakini baada ya muda sista akaomba msamaha warudiane jamaa akakataa sasa huyu dada alikuwa na ufunguo wa nyumba ya rafiki yangu akawa kila siku anawahi kurudi kazini anafanya usafi na kumpikia na kuondoka kabla jamaa hajarudi baada ya wiki mbili jamaa akamsamehe sasa hivi wana watoto watatu.
i love you to huny buny
im so happy u come back to me....
Pamoja ya wewe AD kukubali yaishe jina la mbaya wako halijatajwa kuwa unapendwa zaidi yake kama ulivyoomba awali,nawasilisha hoja.
Mbona umeanza kusoma kati ya mistari? Unajua c mawakili tunaishi kwa ajili ya Kesi..Pamoja ya wewe AD kukubali yaishe jina la mbaya wako halijatajwa kuwa unapendwa zaidi yake kama ulivyoomba awali,nawasilisha hoja.
Orait.
Kumbe wewe ni mchokozi kiasi hicho? Au unataka kuona baby come back ya pili na ya tatu kwa siku moja!!
Nilikuwa nataka yakiisha yaishe vizuri sio nusu nusu hapa bado kuna upenyo anaoweza kuutumia TF.Mbona umeanza kusoma kati ya mistari? Unajua c mawakili tunaishi kwa ajili ya Kesi..
Pamoja ya wewe AD kukubali yaishe jina la mbaya wako halijatajwa kuwa unapendwa zaidi yake kama ulivyoomba awali,nawasilisha hoja.
Siongei na wewe umeninyamazisha mbele ya watu na kunidhalilisha.saa nyingine ukizungusha sana shingo itavunjika..
mmmhhh yaache tu hayo ya zamani sasa..
Listen to your heart. Forget sentiments. Which one of these guys brings out the best in you? When it comes to relationships my dear there ain't rules. Listen to your heart!
Do what your heart tells you.There has to be one you love more,one you wanna be with more,that you care about more,and that loves you more.Past or present go with the one that's dearest to your heart
Na Mostly,huwa wanaume tunapenda sana kuumiza na hasa pale tunapojua kwamba tunapendwa.We take love for granted,tunakuwa kama washamba wa Mapenzi.Hata wasichana sometimes but si kama wanaume.Naruhusu kupingwa,au Maandamano!
I rest my case!!!
Siongei na wewe umeninyamazisha mbele ya watu na kunidhalilisha.
Nilikuwa nataka yakiisha yaishe vizuri sio nusu nusu hapa bado kuna upenyo anaoweza kuutumia TF.
Mkuu tunakupenda una kibali cha polisi ?maana siku hizi watadai kuna habari za kiintelijensia kuwa wewe ni gaidi lililokubuhu na una mafunzo ya FARC wa Colombia.Mimi nitaandamana kesho...ni vitegemezi vyangu vyote...Kukuunga mkono na kukupogeneza kwa this useful post!
The Following User Says Thank You to Ben For This Useful Post:
Dark City (Today)
hehehehe dah hii ndio kwanza naona, niliishiwa na hela cafe bana. dah naona wameelewana tayari, acha tuanze juhudi za kugombanisha tena.Psss! mwindaji mwenzangu AD na TF hawaongei hii chance yetu kule usisema sijakustua.
hehehehe dah hii ndio kwanza naona, niliishiwa na hela cafe bana. dah naona wameelewana tayari, acha tuanze juhudi za kugombanisha tena.
bek to ze topik: baby come back haikubaliki kabisa.
Wala usilalamike we defender gani unapiga chenga golini huku washambuliaji kibao pembeni ?Ha ha ha ha Klorokwini haikubaliki kabisa
Kwa maoni yangu;
1. inategemea meachana katika mazingira gani, kwangu mimi nimesha jaribu hiyo kwa watu nilio achana nao kwa kugombana, na kwa kweli nikajaribu na kugundua kua vitu vile vile vilivyo kua vinani boa ni the same, na baada ya hiyo nika geuka bila kuanngalia nyuma.
2. kwa mazingira mengine kama mliachana kwa amani na kukawa kuna feelings zime hang, labda hapo ndiyo kuna chance ya kurudiana.. Pia inategemea ni muda gani tangu meachana...
I do hope this makes sense kwa sababu kuelezea kwa kiswahili ni project kubwa...