tracy,
Katika uhusiano timilifu "hasira" haiwezi ku-lead mtu kuwa provocative - no, never... Ukiona mwenzio anakasirika katika mahusiano na anakuita "we mbwa hebu toka hapa" - lazima huelewe kuwa alishakuita mbwa "kimoyomoyo" a million times, kwahiyo hasira ni "catalyst" tu.. Vile vile ukiona Baba_Enock anarudi nyumbani amepinga kama Serengenti kumi halafu anagonga mlango kwa mateke na huku akimtukana Mama_Enock na kumuita "we Malaya fungua mlango" - fahamu kuwa kuna "Mama_Enock wa pili"
Kwahiyo, in principal and practice, the so called "second chance" ni unafiki tu - Na normally kwenye ndoa huwa ni njia pekee ya ku-protect interests of either side - be it Watoto, Mali, Fame, e.t.c na siyo kwamba hiyo samahani anayokuomba ili mrudiane ni genuine! Not at all.
But the good thing is couple nyingi zinaishi kwa kuombana samahani day-in day-out::: and life goes on, but in real sense huwa mapenzi yanaisha by the time unapokuwa provocative kwa mwenzi wako.
Have you guys ever wondered kwa nini vyakula vyote vinavyopikwa kwenye sehemu za starehe vinaisha kabla ya saa tano usiku? Kwa mfano kuanzia Tegeta kwa Ndevu mpaka Kibira Bunju A, kuna baa after every 50 metres na zote zinatengeneza michemsho na nyama choma nyingi tu, lakini by saa sita usiku majiko huwa yamefungwa! The simple and obvious answer is "Families are no longer EATING together"! Baba anakula baa Mama anakula gesti - simple as that!
Why? Baby Come Back ... Does not hold water!