Baby Come Back.........

Mkuu mwenyekiti wetu Kaizer, vijana wameharibika sana siku izi...wanajadili mambo kisiasa bila kuangalia intelijensia

Haya, assume 'BABY' ni ndovu ya kopo, then rudi kwenye hoja ya MJ1

thread closed!

Tuseme balantines kamfumania valuu nani utamwambia bebi kamu baki
 
mmmhh jamani nilitegemea useme nakuja kukufuta machozi....
mmhh kumbe we mchoyo ae...lol

Sasa AD kwa kuwa una-remove your sorrow, mi nikuache tu kwani ni vizuri ku-remove sorrow
 
Babu kipenzi ukiondoa kusononeka kwa kukumisi, hajambo sana.

Nasubiria ile ahadi ya mkongojo ulioniahidi.

mmmhh babu
hata usijalibabu mi nikiwa siko hapa
nimeenda kutafuta mahindi,maharage,mihogo na kunde za kumlisha babu yangu...
umeni tunza vizuri na sasa zamu yangu kukutunza wewe..

Vipi wajuu wapya,
je wanakubali kukaguliwa??
 
Wajukuu wa siku hizi wamekuwa wabishi. Kizazi cha nyoka. Mmebakia nyie tu wa zamani.
Usisahau kucha za miguuni zimeshakuwa ndefu. Na hakuna anayejua kuzikata vizuri kama wewe.
Za mikononi bibi yako amezikata kwa meno.
 
Hivi sasa ni saa 3:15 PM, bado 1:15 niende counter ya juu.....
Sijui jua limesimama mbona time haziendi?
 
Hivi sasa ni saa 3:15 PM, bado 1:15 niende counter ya juu.....
Sijui jua limesimama mbona time haziendi?

We unaenda kaunta bila kupita nyumbani kula kibua na familia?
 
Hivi sasa ni saa 3:15 PM, bado 1:15 niende counter ya juu.....
Sijui jua limesimama mbona time haziendi?
hahahaha hivi kumbe tumekubaiana leo ni family day....
ngoja ninunue magazeti yote ya leo wakati nasubiri kibua na makange niwe naperuzi ishu za Dowans..!!
 
Wajukuu wa siku hizi wamekuwa wabishi. Kizazi cha nyoka. Mmebakia nyie tu wa zamani.
Usisahau kucha za miguuni zimeshakuwa ndefu. Na hakuna anayejua kuzikata vizuri kama wewe.
Za mikononi bibi yako amezikata kwa meno.

mmmhhh jamani babu
mbona hii inanitisha sasa..
mmhh kama hawa wajukuu hawafanyii hivi sasa, vipi sisi wajuu wakubwa tukizeeka..
kunaambaye atatuagalia kweli...??
mmmhh hii inatisha kwa kweli..

haya babu ntakuja kungata ya miguu, na ntakutafunia mswaki mwengine wa mti...
mie niko hapa ajili yako babu yanguu..
 
Hivi sasa ni saa 3:15 PM, bado 1:15 niende counter ya juu.....
Sijui jua limesimama mbona time haziendi?

haya mkuu naona count down ya new year ops i mean new week imeanza lol
 
haya mkuu naona count down ya new year ops i mean new week imeanza lol
Leo vp mixer ya konyagi na red bull? all ya sorrow will be removed? BTW Lulu alikua anakutafuta...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…