Baby Come Back.........

Baby Come Back.........

Sina raha, sina raha eheee naumia na mawazo kama haunipendi jua unipendi haiwezekani wee daily unazingua habari yake Teamo, gy, kIMEY habari ya Al-batar
 
ipi hii................"Floccinaucinihilipilification"

au?

hahahahha lol
ka kuna cocktail ya jina hilo
mmmhhh mie ntainusa. ntaivuta ntailamba halafu ndo naiweka mdomoni taaraatibu..
hahah lol
 
hahahahha lol
ka kuna cocktail ya jina hilo
mmmhhh mie ntainusa. ntaivuta ntailamba halafu ndo naiweka mdomoni taaraatibu..
hahah lol

U see the best way kumfuta mtu machozi ni kumpa hii cocktail...............

I'm in love with machozi
 
na bado nimekwambia mpaka ukaniombe msamaha kwa mama we si ulijifanya bby cme bak?mwambie sasa AD ukweli
Sina raha, sina raha eheee naumia na mawazo kama haunipendi jua unipendi haiwezekani wee daily unazingua habari yake Teamo, gy, kIMEY habari ya Al-batar
 
U see the best way kumfuta mtu machozi ni kumpa hii cocktail...............

I'm in love with machozi

u know it just the way i like it..
mmmhhh hii ndo ile inawekewe whipped cream na strawberry on top..???
hahahah lol
 
na bado nimekwambia mpaka ukaniombe msamaha kwa mama we si ulijifanya bby cme bak?mwambie sasa AD ukweli

mmhh kuna mtu hapa mwenye guts ambae anaweza niambia huo ukweli??
au wote mmeamua kujificha..
mmhh Pearl niambie tu dear...
 
Hafanani nasi ujue...

mmmhh mimi bado thijakupata....
kithwahili anaongea..
kathaliwa na kuithi Bongo..
thatha thi mmoa wetu jamani..

au unahitaji nini ku qualify kuwa mmoja wetu??
 
mmmhh mimi bado thijakupata....
kithwahili anaongea..
kathaliwa na kuithi Bongo..
thatha thi mmoa wetu jamani..

au unahitaji nini ku qualify kuwa mmoja wetu??

Sorry he ain't resembling a st...lol
 
Mmm ebu muulize tena uone maana bora ya kinyonga kuliko yeye ,mm kupenda tena basi jamani lol

mmmhh jamani
mie hata niambia kiitu..
maana ni jana tu nimemsamehe..
indhani leo atakubali ku kiri tena mmmhhhh bibie
ili nini :si anaogopa ntamwacha"
 
Back
Top Bottom