mie ni mmoja wa watu waliowahi kuachwa kwa mbwembwe mackini ya Mungu....cjuagi mpaka kesho yule kaka y aliniacha, aliamua tu kaamka asubuhi mashetani yake yakaamua hivyo, baada ya mwaka kaja kuckia nipo kwenye maandalizi ya ndoa akanitafuta kwa nguvu zote akitaka msamaha, khaaa mdada wa watu nina ka mimba kangu kameshachomoza, ndoa ipo jikoni mkaka anaridi kwa speed zote...msxiiii...mpaka leo hii na uzee huu bado anasumbua nimsamahe japo nimpe nusu saa tuongee...ovyo kabisa.
Kwani Mkuu ni vitu vingapi umefanya kwa kuichia nature iendelee na utaratibu wake? Kwani ukigoma una uhakika gani hiyo kambi yako mpya ya wakimbizi (refugee camp) siku moja haitageuka jehanamu?
Nadhani ni kosa kubwa sana kujaribu kufanya full estimate ya risk-benefit katika haya mambo ya MMU ingawa hicho kitu unatakiwa kuwa nacho kwenye background!
My dear fellow babu:
Niko tayari kuumizwa kimapenzi na watu kumi kwa nyakati tofauti, kuliko niumizwe mara mbili na mtu mmoja.
Dah yaani wewe ukiacha unatafuta mwingine unajipumnzisha kule hurudi tena?
Hongera kwa kugangamaa
But hiyo sidhani kama itakuwa ni Baby come back......kwani mliachana na huyo Infii kwa ugomvi??....nadhani labda iwe 'Baby, do you remember??' or ' Baby come to parrry'Sure, but suppose you meet your former INFII at the bar with some sleeping rooms with comfy matresses while you are "hungry"?... You take a room and baby come back deal is signed...while thinking of the next INFII.....
Dont call my name Aleandroooooooooooo,if it did not work out b4 cn it work out out now?4me kama its over its over forI gud,without him there are more possibilities,thank God I mwachad him.I real have to meet a number of crue men in order to get the Mr right!after all ya nini malumbanoooooooooo?
asante mpenzi, lakini alinifundisha kugangamala kwenye mapenzi, yaani alinipa lesson ya kutosha kabisa kabisa...mpaka kesho anasemaga mie ndio mke wake aliechaguliwa na Mungu!...khaa wanaume bwana drama tupu.
Ah ....nisamehe smiles .....haikuwa nia yangu loh
Nakuruhusu kaa kimya.
You said it well.... Maisha ni mafupi, kwanini niwe mtumwa wa mapenzi....You do me, I do you.... Mi ni mtu ambaye si mwepesi sana wa kuyarudia matapishi yangu. Nimeshawahi kutendwa, nikateseka sana. Somo liliniingia vizuri, siwezi tena kurudia kosa.
Kupenda pasipopendeka ni sawa na kijichimbia kaburi lako mwenyewe......
asante mpenzi, lakini alinifundisha kugangamala kwenye mapenzi, yaani alinipa lesson ya kutosha kabisa kabisa...mpaka kesho anasemaga mie ndio mke wake aliechaguliwa na Mungu!...khaa wanaume bwana drama tupu.
Kupenda pasipopendeka ni sawa na kijichimbia kaburi lako mwenyewe......
But hiyo sidhani kama itakuwa ni Baby come back......kwani mliachana na huyo Infii kwa ugomvi??....nadhani labda iwe 'Baby, do you remember??' or ' Baby come to parrry'
You said it well.... Maisha ni mafupi, kwanini niwe mtumwa wa mapenzi....You do me, I do you.... Mi ni mtu ambaye si mwepesi sana wa kuyarudia matapishi yangu. Nimeshawahi kutendwa, nikateseka sana. Somo liliniingia vizuri, siwezi tena kurudia kosa.
Kupenda pasipopendeka ni sawa na kijichimbia kaburi lako mwenyewe......
Ukiwa unapooza machungu kwa siku moja sio mbaya kesho unaangalia pengine
Dadangu mnoko, hujambo mpenzi?
Hebu nambie waweza kuyarudia matapishi yako mwenyewe? Yaani jitu limekufanyia linayojua, unateseka hata halijali halafu linakuja na imani yake mpya ya baby come back...vikojoleo vimeisha mitaani huko?
Umeona sasa mzee mwenzangu enhhhhhh? Mbona nimesema toka mwanzo...The power of kemia (chemistry) ilikuwa zero. Hapo unategemea nini? Hakuna kitu labda madhara ya after-taste!
Tiqo ulishawahi kupenda?
cjambo kaka yangu mpenzi...mie bwana afadhali hata ningejuaga yule bwana y ameniacha, imagine, tulikuwa kindoroko dinner, tumeagana vzr kabisa mapenzi moto moto, asubuhi unamcal hapokei, call call weee mpaka alijickia kutuma sms kwamba"naomba tuishie hapo tulipofikia"....kaka kidogo nidondoke, na ukituma sms bac kujua kulikoni hazijibiwi...haaaa aliniweza yule jamaa wallaah.....huyu hasameheki mpaka kiama kiama kabisa....hakuna kurudi nyuma kabisa!