Baby Come Back.........

Baby Come Back.........

At least hauposti Via Mobile babu anapata matumaini kuwa uko hai.

Salamu usalule hapo. Tunapatafutia sababu.

Safari ya USALULE WING!!
hommie leo No Via mobile bana....
hahaha can't wait to c you guys....yaani itakua kamwene kamwene.....unagage.....ndimnofu hela....makasi ......lol:welcome:
 
Kwa hiyo ile sentensi isemayo ukimpata infii anayejituma muhabarishe na mwenzio mnaiondoa?? basi mtabadilisha katiba yote maana mnashauriwa pia neva fall kwa infii sasa ukianza kumwonea wivu ina maana unafall

Hivi kumbe ulichukua katiba?

Katiba ya JMT inafanyiwa marekebisho seuze ya ISC.... Chama kimejaa makabaila lazima katiba ifanyiwe mabadiliko kwa maslahi ya babu.
 
hommie leo No Via mobile bana....
hahaha can't wait to c you guys....yaani itakua kamwene kamwene.....unagage.....ndimnofu hela....makasi ......lol:welcome:
Kimey................nakupostia limbwata saa hivi.....via bluututhi

hujasema feelings zako bwana, mpenzi kakukosea kakutosa kwa mbwembwe zote kiasha baada ya muda we ndo unaanza kumfuta taratibu anakuja na Baby it was my mistake, shetwan alinipitia nisamehe come back..........utapata hisia gani?
 
Kuna vitu vingine shetani tunamtendea dhambi... Vingine tunamsingizia wallah.
 
ha ha ha ha!
FOLLOW YOUR HEART MAMA!hatuna principles za moja kwa moja kwenye hili swala

Binafsi naona hilo ndo neno kubwaaaaaaa katika swala kama hili.
 
Kimey................nakupostia limbwata saa hivi.....via bluututhi

hujasema feelings zako bwana, mpenzi kakukosea kakutosa kwa mbwembwe zote kiasha baada ya muda we ndo unaanza kumfuta taratibu anakuja na Baby it was my mistake, shetwan alinipitia nisamehe come back..........utapata hisia gani?

MJ1,

Mbona tumeshasema sana kuhusu hilo? Kama chemistry haiku-drop had kwenye negatives... na kulingana na hizo mbwembwe jamaa anaweza kupewa nafasi na wakati huo ukatupilia mbali mtu aliyekuokota wakati una agony ya kulimwa kibuti kwa mshindo mkuu zaidi ya land mine!! Hii kitu muiche tu.. Ni zaidi ya bangi!
 
Binafsi naona hilo ndo neno kubwaaaaaaa katika swala kama hili.

Umeona LD,

Mimi nashindwa kuelewa kwa nini watu wanadhani kwamba wakati wote mtu anaweza kuufunga mlango wa moyo wake? Hizo kufuri zinanunuliwa wapi?
 
MJ1,

Mbona tumeshasema sana kuhusu hilo? Kama chemistry haiku-drop had kwenye negatives... na kulingana na hizo mbwembwe jamaa anaweza kupewa nafasi na wakati huo ukatupilia mbali mtu aliyekuokota wakati una agony ya kulimwa kibuti kwa mshindo mkuu zaidi ya land mine!! Hii kitu muiche tu.. Ni zaidi ya bangi!

Hahahaaa babu umeua...kweli huu ni ulevi mtupu!
 
Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa mbwembwe/Ugomvi/maumivu) e.t.c but after a while anarudi na kukuomba mrudiane.....

Siyo vyema ukala matapishi yako mwenyewe! Halafu matapishi ya Bia na Valuer na Kitimoto!

Hii concept ya "kusitisha mahusiano" ni mpya na I would say ndiyo maana there so many MBA nowadays!

Mtu nakwambia sikuhitaji tena nimempata anayenifaa zaidi, Still baada ya muda anarudi, na kusema oh ilikuwa shetani..blah blah..!

Baba_Enock mara zote huwa anawaambia "get out of my house and remember to close the door behind your A$$!
 
Mshiki inakuwaje we na Teamo mnanitenga pale kwa Mama Sande?

Kaka mi wala sijakutenga kabisaa, huyo Teamo mwenyewe (anakula kitawa cha mwana), aonekane wapi.
 
Umeona LD,

Mimi nashindwa kuelewa kwa nini watu wanadhani kwamba wakati wote mtu anaweza kuufunga mlango wa moyo wake? Hizo kufuri zinanunuliwa wapi?

Uzuri mioyo inatofautiana, yani babu DC, mi naona ndo maana kuna ile,
AMANI IPITAYO AMANI ZOTE IAMUE MIOYONI MWENU.
 
......mmmh hii siredi nitarudi kui-pirinti fo fyucha refarensisi...............!
 
Kimey................nakupostia limbwata saa hivi.....via bluututhi

hujasema feelings zako bwana, mpenzi kakukosea kakutosa kwa mbwembwe zote kiasha baada ya muda we ndo unaanza kumfuta taratibu anakuja na Baby it was my mistake, shetwan alinipitia nisamehe come back..........utapata hisia gani?
hahaha mi nalindwa mjukuu bana hilo lijitu litadunda tu hapa......lol
hapo kwenye RED bila kuja na huyo shetani nikamuona na shetani (kama anaweza mpata lakini) akakiri kua kosa ni lake swetani.....otherwise hakuna msamaha hapo!!
 
Najiuliza tu....how do people feel when they are facing this kind of situation..

Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa mbwembwe/Ugomvi/maumivu) e.t.c but after a while anarudi na kukuomba mrudiane..................

What kind of feelings do people get?? Imeshawahi kukutokea? How did you feel and what was your reaction??

Mapenzi ah......................

Kama hakukuwa na sababu ya msingi kuachana then kwa kile anachokijua yeye akaniacha,waga naumia na kulia for like two weeks,zikiisha hizo na hajaomba msamaha ITS OVER FOR GOOD......namuomba kabisa na Mungu uchungu uishe,nisikose baraka kwa hili then.........
Akirudi na mimi huwa nina hii bahati,hakuna aliyeniacha akaacha kurudi..............kwanza namtangazia msamaha,kuwa alichokifanya nimesamehe,nafurahi sana kufahamiana nae na kamwe sitojutia,nashukuru kwa masomo yote niliyojifunza kwake,ila huo muda tuliokuwa hatuko pamoja nilijifunza kuwa HE DOES NOT WORTH ME,am too good for him,there are better men who deserve and worth me.Siruhusu majadiliano,kwa kuwa najua huyu ni mtu niliyempenda na pengine bado nampenda..........

Kama niliachana nae kwa sababu zinazoeleweka hapo tutakaa na tutaelewana kama bado ntakuwa sija-move on!
 
Hivi kumbe ulichukua katiba?
Katiba ya JMT inafanyiwa marekebisho seuze ya ISC.... Chama kimejaa makabaila lazima katiba ifanyiwe mabadiliko kwa maslahi ya babu.
hahahaha ngoja tutaongea na Pope kuhusu huu mswaada!! lol
Say No to Ukabaila!!
 
Back
Top Bottom