Baby Come Back.........

Baby Come Back.........

MJ1,

Anyways wengi wanaojua ku-forgive na ku-forget ni Wanawake!

Sidhani kama Mwanaume "kamili" Can forgive and forget! No way!

Yaani that is beyond imagination - Baba_Enock will never "UN-DO" any broken relationship - never never on Earth!
 
hahaha mi nalindwa mjukuu bana hilo lijitu litadunda tu hapa......lol
hapo kwenye RED bila kuja na huyo shetani nikamuona na shetani (kama anaweza mpata lakini) akakiri kua kosa ni lake swetani.....otherwise hakuna msamaha hapo!!

hahahahah..... hapo nimecheka mno!!
 
Kama hakukuwa na sababu ya msingi kuachana then kwa kile anachokijua yeye akaniacha,waga naumia na kulia for like two weeks,zikiisha hizo na hajaomba msamaha ITS OVER FOR GOOD......namuomba kabisa na Mungu uchungu uishe,nisikose baraka kwa hili then.........
Akirudi na mimi huwa nina hii bahati,hakuna aliyeniacha akaacha kurudi..............kwanza namtangazia msamaha,kuwa alichokifanya nimesamehe,nafurahi sana kufahamiana nae na kamwe sitojutia,nashukuru kwa masomo yote niliyojifunza kwake,ila huo muda tuliokuwa hatuko pamoja nilijifunza kuwa HE DOES NOT WORTH ME,am too good for him,there are better men who deserve and worth me.Siruhusu majadiliano,kwa kuwa najua huyu ni mtu niliyempenda na pengine bado nampenda..........

Kama niliachana nae kwa sababu zinazoeleweka hapo tutakaa na tutaelewana kama bado ntakuwa sija-move on!

Nimependa post yako hadi nimekutendea haki haraka haraka...Umewekea open windows za kutosha na hilo ndilo nimekuwa naliongelea toka asubuhi ingawa baadhi ya wajukuu na wazee wengine wamekuwa vichwa ngumu.. Ila kuna exteme cases ambazo tayari ni RIP na hapa hatuna muda wa kuzijadili!
 
images

Lovers have had fights for ages, ...........Socrates aliwahi kusema "The hottest love has the coldest end." Halafu pia wengine wanasema moyo uliumbwa ili uvunjwe..... When you have loved someone truly, for a long time, it becomes as difficult to let go......mengine yote ni majaribu tu na mnapaswa kuyashinda na pia inawasaidia kujuana.
 
hahahahah..... hapo nimecheka mno!!

Mwenendo wako wa leo una msg kubwa sana...Labda utakuja kabla ya 18hrs kutujuvywa kwa nini umeamua kupiga super glue kwenye keyboard yako!
 
Afrodenzi bana.........I like your way of thinking mydia.

So huwezi kuhisi pengine hata ukicome back mbele tena mnawezagombana au haitowork?
Habari yako inspectee.............inspector anauliza unaweza kuja myuma kwa mbele?
 
mi kwakeli nashangaa alafu unavyokuja kuniomba msamaha does it mean kwamba u were the only fish in the pond hadi nikae tu nakusubiri ww huko?opportunities are everywea y not grabing one?au watu hawajui But you dont miss your water until the well runs dry?
MJ1,

Anyways wengi wanaojua ku-forgive na ku-forget ni Wanawake!

Sidhani kama Mwanaume "kamili" Can forgive and forget! No way!

Yaani that is beyond imagination - Baba_Enock will never "UN-DO" any broken relationship - never never on Earth!
 
Hommie sijui lile timbwili litaendelea leo hebu anza kuandaa utetezi wangu
hahaha hommie usijali leo akiamka tunampiga na hii ya MJ1, "Babe come back" ni Shwetani tu alikupitia lol!!
patachimbika leo....!!
 
haliwezi kuendelea bby boy!cme over and uje pata heavy breakfast ya matumbua yalonona!achana na chapat transparent!
Hommie sijui lile timbwili litaendelea leo hebu anza kuandaa utetezi wangu
 
Wakati wa ku-break up: We mwnamme gani wewe au mwanaume sarawili nini wewe? yani kwenye wanaume na wewe upo?

Then baadae: Baby come back please....(tena na lugha imebadilika)

My take: usanii tu
 
we we we we shem!ooooh hakuna cha shetani wala jini mahaba sema Pearl kampitia na anamtumia unaogopa?kumbe hata hujui kutetea eeeh?
hahaha hommie usijali leo akiamka tunampiga na hii ya MJ1, "Babe come back" ni Shwetani tu alikupitia lol!!
patachimbika leo....!!
 
hahaha mi nalindwa mjukuu bana hilo lijitu litadunda tu hapa......lol
hapo kwenye RED bila kuja na huyo shetani nikamuona na shetani (kama anaweza mpata lakini) akakiri kua kosa ni lake swetani.....otherwise hakuna msamaha hapo!!

Habari ya kaka Kimey!
Kaka hadi umwone shetani wewe, Unasamehe tu bwana kaka. Kwani we Tomaso??
 
Wakati wa ku-break up: We mwnamme gani wewe au mwanaume sarawili nini wewe? yani kwenye wanaume na wewe upo?

Then baadae: Baby come back please....(tena na lugha imebadilika)

My take: usanii tu
hahaha hapo ni kutoa lami unaweka lami.....au toa vumbi weka vumbi...!!
 
Habari ya kaka Kimey!
Kaka hadi umwone shetani wewe, Unasamehe tu bwana kaka. Kwani we Tomaso??
Habari muzuri mshiki.........
hebu nisome hapa chini utanielewa

I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!!
 
Back
Top Bottom