Baby Kabae achemka Clouds360

Baby Kabae achemka Clouds360

uniq

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
5,089
Reaction score
31,084
Baada ya kutoka kwenye matangazo kwenye kipindi cha Clouds 360. Mtangazaji Baby Kabae akikaribisha alisema karibuni tena Sta.. then akarudi kusema Clouds 360.
Kweli kilichomjaa mtu ndio kimtokacho. Wamevurugwa na Star TV.
 
ah!......
 
Duh.........aibu zingine muwe munajaribu kuzificha jamani.......kha!!
 
Sijaelewa ulitaka tuelewe nini kwenye uzi wako.muwe mnatulia ndio mnaweka nyuzi
 
Ingekua kuleta uzi umu unalipia ingekua poa sana sasa ndo umeandika nini apa mdogo ake bashite
 
Back
Top Bottom