Baby Madaha ajiweka kimapenzi kwa Wyre

Baby Madaha ajiweka kimapenzi kwa Wyre

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ' Baby Madaha' kwa sasa amejiweka kimapenzi na msanii anayetamba Kenya, Kevin Wyre baada ya kuwepo kwa tetesi za kutemana na mtu wake wa awali , Joe Kairuki aliyekuwa pia ni meneja wake. Mwanadada anayefanya vizuri katika muziki Bongo.

Watu walio karibu na wawili hao wanasema uhusiano huo unafanywa kwa siri ili usivuje na kwamba kwa sasa pia wanafanya kazi ya pamoja itakayokuwa hewani wakati wowote muda mfupi ujao.

Alipoulizwa juu ya ishu hiyo , Baby Madaha alitiririka: "Mimi nina uhuru wa kufanya chochote ninachojisikia na hakuna mtu atakayeweza kuniingilia katika maisha yangu wala uhusiano wangu kwa sababu sigongi kwa mtu kuomba msaada ."
 
Aisee Wyre namuonaga kama ametulia sana, afu si ameoa huyo?
 
Huyu naye kazidi kuchange wanaume ka sifa ngoja wamuache zaidi ya wimbo wa amore nyingine sijui huwa anaimba nini
 
Alisema alienda kwao kusafisha nyota.....
 
Ila wyre namuonaga mstaarabu jamani!!Kwani hajaoa bado?

Ukistaajabu ya mussa, ila huenda wamepiga picha tu, maana wakina shigongo hawapitwagi, ila kama ndo demu wake bas wa kuoshea rungu
 
Huyu baby madaha sijui night huwa inakuwaje sababu mimacho yake kama paka vile.
 
Back
Top Bottom