bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
Kaolewa ili apike uji wa jioni......
ndo raha yenyewe hiyomaisha ya kupika na kupakua NO way!!!!!!
Nature kwa raha zake akirudi kwenye show
anakuta bidada aneshakorofisha futari
ndo raha yenyewe hiyo
kwa wote,we unadhani angepika kama hasikii raha?raha kwa anaepika au anaepikiwa!!!!!!
#Teamumbea tuko kazini, hii habari kila viewer amecomment. Baby madaha naskia ni kibajaji a.k.a zoa zoa, hakichagui abiria. Msuto sunna
#Teamumbea tuko kazini, hii habari kila viewer amecomment. Baby madaha naskia ni kibajaji a.k.a zoa zoa, hakichagui abiria. Msuto sunna
Mbaya zaidi akipata maji yaliyokuwa yanatoka hasa zamani Ilala siku hizi wanatengeneza sehemu nyingi....mkimsalimia tu na akaona unazo kwa kuangalia tu basi amekuganda
Habari zilizothibitishwa na Juma Nature mwenyewe na pia katka blog ya Sintah mpenz wa Nature wa zamani ni kuwa mwanamuziki na msanii wa maigzo Baby Joseph Madaha ni mwezi sasa anapika na kupakua nyumbani kwa Juma Kassimu Kiroboto a.k.a Juma Nature. Uhusiano huo umeripotiwa kuwa wa kimapenzi na c vngnevyo. Juma Nature ambaye mwezi wa 5 ameripotiwa kupewa M kadhaa na mkuu wa kaya kama asante kwa kuwashawish vijana kumchagua, aliachana na wife wake wa ndoa miez kadhaa sasa na hvyo Baby Madaha kukava namba vilivyo. Kaz kwel kwel
Dooh si angeajiri chef au maid.............mapenzi haya ya pika pakua au kumfulia BF siyataki. BF akale kwa mamake, nitampikia akiwa mume wangu kwa mujibu napikia familia yangu au baba watoto.
Ampikia bwana mapochopocho ya Ramadhan