Baby Madaha anapika na kupakua nyumbani kwa Juma Nature Mbagala

Baby Madaha anapika na kupakua nyumbani kwa Juma Nature Mbagala

Status
Not open for further replies.
Alimuoa lakini..? Maana kwa mujibu wa taratibu za dini ya kiislam hutakiwa kuishi na hawara.. na kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhan ndio kabisa hatakiwi hata kusogelea kibaraza cha nyumba.. Ina maana kama hakuna ndoa basi na funga ya Ustaadh Juma itakuwa haiswihi au batili..

Kutokana na maelezo hapo juu naona kama hakuna ndoa.......Mfikishie salamu hizo
 
Wanaume wa ukweli wamekuwa adimu miaka hii. Madaha kwa Juma Nature??? ila nimesahau kibajaji hakichagui abiria hadi wa 300 kinabeba.
 
2Q==
images
Z


images
 
baby analipa fadhila kwa kolabo aliyomshirikisha nature kibla! Hii ndo bongo bana! Ukitaka kula lazima uliwe ati!
 
Baby Madaha si ndo nilisikiaga kipindi kile amefumwa kwa Babu wa Loliondo akipata kikombe?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom