MadameX
JF-Expert Member
- Dec 27, 2009
- 7,792
- 3,856
Alimuoa lakini..? Maana kwa mujibu wa taratibu za dini ya kiislam hutakiwa kuishi na hawara.. na kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhan ndio kabisa hatakiwi hata kusogelea kibaraza cha nyumba.. Ina maana kama hakuna ndoa basi na funga ya Ustaadh Juma itakuwa haiswihi au batili..
Kutokana na maelezo hapo juu naona kama hakuna ndoa.......Mfikishie salamu hizo