Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,142
Hbari zenu ndugu zangu, kuna habar kuwa Juma Nature anatoka kimapenzi na msichana Baby Madaha, hivi punde wamekuwa na ukaribu wa hali ya juu, kumbe kuna mambo yalikuwa wanadili nayo chini kwa chini, imefika hatua hivi sasa kila unapoenda katika shoo anazofanya Nature lazma utamkuta na Baby Madaha na kuchangia kuwa na ukaribu wa hali ya juu na hii imechangia Nature kuwa mlevi wa pombe wa kupindukia coz Baby Madaha nae anatabia hiyo ya kupenda sana mitungi, nawatakia kila la kher katika mahusiano yao sema Baby Madaha anatakiwa kuwa makin na Nature coz akimuacha tu lazma atamtungia nyimbo na kusema mabaya yake kama alivyofanyiwa Sintah
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums