Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Una maneno sanadoh, magari yao kama land rover kwenye tope ndo yanakimbia balaa
Duh, mkuu Una mafumbo wewe,doh, magari yao kama land rover kwenye tope ndo yanakimbia balaa
![]()
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina.
Baby yupo mbioni kuachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Corazon’ unaofanyiwa video yake nchini Dubai kwenye makazi yake mengine.
“Kwa sasa ninaishi nchi mbili, nipo Tanzania na pia nina makazi yangu mapya huko Dubai, nimeolewa na Mwarabu na nimetulia kwenye ndoa yangu najiachia kwangu, ahaaaa!” alijibu kisha akamalizia kwa kicheko.
Akizungumzia wimbo huo, Madaha alisema ameurekodia katika studio za C9 zinazomilikiwa na prodyuza mkali katika midundo nchini, Christopher Kanjenje (C9).
Awali Baby Madaha aliwahi kunukuliwa na vyombo vya habari akisema anamzimikia Zitto Kabwe na angependa kama angeolewa naye.
"Nafikiri Zitto ni mwanaume anayenivutia sana ambaye ningetamani anioe, licha ya kujiamini kwake, pia ana akili na ujasiri wa hali ya juu, kitu ambacho wengi hawana. Ukiangalia mambo ambayo ameyafanya akiwa bungeni, yanaonyesha ni jinsi gani yeye ni mtu jasiri ambaye yupo tayari kufa kwa kupigania anachokiamini."
Licha ya kumpenda Zitto, Baby Madaha pia aliwahi kusema kuwa anatamani kujiunga na Freemason, akisema anavutiwa na jinsi wanavyojitoa katika kusaidia watu wa jamii mbalimbali, tofauti na imani ya wengi kuwa watu hao ni wabaya.
"Ukiniambia Freemason kweli, uchawi? Napenda Freemason maana iko wazi na kiongozi wake anajulikana, tofauti na imani za giza ambazo wahusika hawaonekani, achilia mbali kuwa wengi wao ni wachafu na wenye maisha ya shida.
"Muangalie mtu kama Chande (Alex, Kiongozi wa Freemason Tanzania) ni mtu mwenye maisha mazuri na yupo watu wanamuona, anaendesha taasisi kwa uwazi, haijalishi wako vipi, mimi ninawaelewa na ninawakubali," alisema msanii huyo na alipoulizwa kuhusu usiri wa baadhi ya masharti ya kujiunga kama yana ishara mbaya, aliongeza;
"Siyo kila kitu mtu ajue, lazima yawepo baadhi ya mambo mnayojua wenyewe tu, angalia hata shoo ya Diamond, ameweka kiingilio kikubwa kwa sababu siyo kila mtu lazima aingie, wengine wa oyaoya waishie hukuhuku, huko kuna wenyewe, binafsi nitafurahi sana nikipata chansi, hao waliomo humo mbona hatuoni watoto wao wamekufa au wazazi wao?," alisema kwa kuhoji Baby.
Source: Mtanzania
mkuu ni kweli magari ya uarabuni ni imara sana yapitapo ktk tope, sio kwamba hayapiti ktk lami, la hasha!Duh, mkuu Una mafumbo wewe,
Hana muda yule kile kichwa mhesabie miezi tu utasikia keshaharibu,nina mtakia kila la kheri atulie tu sasa.Dubai Dubai usisahau kutueleza ukuachwa pia
Kama ni kweli,ila aache sasa ukarimu ulio pitiliza.Haya ndoa njema
Ukiwa na maana ni wataalam wakuzibua mitaro ya taka ngumu,au?.waarabu wengi ni ma "septic engineers"
Fundi bomba?! Ila juzi Kati aliweka wazi kuwa bongo movies wanauza papuchi ambapo na yeye ni mmojawao
Mkuu em funguka zaidi hapo ikibidi hata kwa pm nani huyoKuna demu mmoja aliwahi kushiriki miss Tz ni rafiki ake sana(jina kapuni) ndio fundi bomba mkuu wa midudu ya mjini ukimcheki yeye anakupa hadi bei elekezi za kuletewa huduma kama unamfahamu uyu manzi basi lazima utamjua uyo kuwadi.
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aseme hapa tuMkuu em funguka zaidi hapo ikibidi hata kwa pm nani huyo