Baby Madaha: Mwarabu kanituliza, na kweli sasa nimetulia

Naona dudu kichwa kitupu, katili, kahaba, shambenga lisilofaa katika familia wala jamii!. Hakuna mtu hapa. Mtaniambia!
 
Mwarabu huyo ana lake

Ndogo ikipwaya anatupa kule
 
Dubai Dubai usisahau kutueleza ukuachwa pia
 
Kuona Anty katulizana na Iyobo kila star anajifanya katulia na ndoa! Haya tunasubiri when angels become devils."
 
Ningeweza kusema afadhali kaondoka yule kumetulia, ah! wapi kaingia Gigy ni balaa wale wale mchana nzi usiku mbu.
 
By the way alipisema mwarabu WA Dubai alimaanisha Mpoki.
 
Ma risk taker wa mjini,wao hata kuingiliwa ndivyosivyo wao wanona poa tu mradi waingize mahela.
 
Fundi bomba?! Ila juzi Kati aliweka wazi kuwa bongo movies wanauza papuchi ambapo na yeye ni mmojawao

Kuna demu mmoja aliwahi kushiriki miss Tz ni rafiki ake sana(jina kapuni) ndio fundi bomba mkuu wa midudu ya mjini ukimcheki yeye anakupa hadi bei elekezi za kuletewa huduma kama unamfahamu uyu manzi basi lazima utamjua uyo kuwadi.
 
Mkuu em funguka zaidi hapo ikibidi hata kwa pm nani huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…