Baby Madaha, Shilole "WATIFUANA"

waendelee tu na mtifuano hadi mkulu wa nchi awaite akawapatanishe huko ikulu...
 
Unakumbuka nin binamu? Au mtu na shoga yake mwafluni. Sasa huyo madaha mwenzie show za vigodor ndo Zimemnunulia harrier Lexus ,yey na show zake za ki beyonce anaganga njaa ramadhan hana pesa ya kula

bifu lake na wolper kuna maneno alitamka ya kijeurijeuri hivyo hivyo...!
yaani baby jeuri
ila namkubali ktu kimoja tu..!!km c viwili..!
 
yaani hii habari imenisikitisha sana, hapa naandika huku machozi yananitoka maana hawa role models wanavyogombana inawakosesha raha wasichana wadogo ambao they ldolise these two A LISTERS..wapatane bana sio poa
Hebu tupishe huko Baby madaha na Shilole role models hahahahaha......................?:angry:
 
yaani hii habari imenisikitisha sana, hapa naandika huku machozi yananitoka maana hawa role models wanavyogombana inawakosesha raha wasichana wadogo ambao they ldolise these two A LISTERS..wapatane bana sio poa

Wewe nae umekosa sehemu yakumwaga machozi yako.Yani hao wasiojielewa ndio wakufanye ulie?
 
wimbo Amore wa baby madaha ni mzuri sana
 
wimbo Amore wa baby madaha ni mzuri sana

Yeah Amore ni the best kwangu katika nyimbo za baby madaha. Akitulia anafanya vitu vya uhakika, sema anapenda mabifu ya kidwanzi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hata kwenye uigizaji yuko vizuri sana..basi tu na yeye ana matatizo yake
Yeah Amore ni the best kwangu katika nyimbo za baby madaha. Akitulia anafanya vitu vya uhakika, sema anapenda mabifu ya kidwanzi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kweli kabisa hata ile ya asa hv kidogo nzur nayo
afu ana nyodo sana yule dada...!!!

Ana kipaji halafu ni mzur, halafu ni smart sana kichwani , naona wengine umaarufu unawaaribu akili, baby level zake ni za akina Vanessa mdee sema anajiraisisha na kujiweka cheap, mwenzie Vanessa hanaga ujinga na mazoea ya kipuuz na yupo serious ndo maana anapokelewa vzr , madah ucharuko mwingi anaharibu
 
Nani mzuriiii????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…