Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakumbuka nin binamu? Au mtu na shoga yake mwafluni. Sasa huyo madaha mwenzie show za vigodor ndo Zimemnunulia harrier Lexus ,yey na show zake za ki beyonce anaganga njaa ramadhan hana pesa ya kula
Hebu tupishe huko Baby madaha na Shilole role models hahahahaha......................?:angry:yaani hii habari imenisikitisha sana, hapa naandika huku machozi yananitoka maana hawa role models wanavyogombana inawakosesha raha wasichana wadogo ambao they ldolise these two A LISTERS..wapatane bana sio poa
yaani hii habari imenisikitisha sana, hapa naandika huku machozi yananitoka maana hawa role models wanavyogombana inawakosesha raha wasichana wadogo ambao they ldolise these two A LISTERS..wapatane bana sio poa
Shilole vs baby madaha
Duuhh makubwa haya jamanii lakini huyu madaha naye anavioja
wimbo Amore wa baby madaha ni mzuri sana
Yeah Amore ni the best kwangu katika nyimbo za baby madaha. Akitulia anafanya vitu vya uhakika, sema anapenda mabifu ya kidwanzi
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nooma sana yani ishu imenichanganya kabisa sababu katika ma celebrities wa bongo wanojiheshimu na wenye IQ ya juu ni hawa wadada wawili
hata kwenye uigizaji yuko vizuri sana..basi tu na yeye ana matatizo yake
kweli kabisa hata ile ya asa hv kidogo nzur nayo
afu ana nyodo sana yule dada...!!!
kweli kabisa hata ile ya asa hv kidogo nzur nayo
afu ana nyodo sana yule dada...!!!
Ana kipaji halafu ni mzur, halafu ni smart sana kichwani , naona wengine umaarufu unawaaribu akili, baby level zake ni za akina Vanessa mdee sema anajiraisisha na kujiweka cheap, mwenzie Vanessa hanaga ujinga na mazoea ya kipuuz na yupo serious ndo maana anapokelewa vzr , madah ucharuko mwingi anaharibu