Baby Madaha, Shilole "WATIFUANA"

Baby Madaha, Shilole "WATIFUANA"

Ana kipaji halafu ni mzur, halafu ni smart sana kichwani , naona wengine umaarufu unawaaribu akili, baby level zake ni za akina Vanessa mdee sema anajiraisisha na kujiweka cheap, mwenzie Vanessa hanaga ujinga na mazoea ya kipuuz na yupo serious ndo maana anapokelewa vzr , madah ucharuko mwingi anaharibu
yap ndo mana nlisema kuna vtu namkubali thnx umevitaja
 
Baby madaha na shilole, shilole mzurii banaa,madah hana uzuri wowoteee
Shilole nilimuona kwa msiba Wa kanumba, ni mzur sana yule tena alikuwa natural bila makeup , shishi mkali sana mtoto yule, baby madaha mzur ila kwa shishi baby kakomaa kidog shishi ana baby face bhana kama hakajazaa halaf ana weupe mzur sana
 
Shilole Mcute Kweli....
 
Baby Madaha anajionaga yeye ndo top jamani khaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mimi mwenyewe huwa hata simwelewi yaani anajikuta kweli wakati sioni chochote cha maana she is just BSS girl.
 
yaani hii habari imenisikitisha sana, hapa naandika huku machozi yananitoka maana hawa role models wanavyogombana inawakosesha raha wasichana wadogo ambao they ldolise these two A LISTERS..wapatane bana sio poa

chumvi at work hii bahari imekuliza i wonder
 
Mimi mwenyewe huwa hata simwelewi yaani anajikuta kweli wakati sioni chochote cha maana she is just BSS girl.

Hahaha baby anajitahidi kuimba na hata kuigiza pia. But anachokera ni kutaka yeye kuonekana bora kuliko wenzake. Yani yeye kila mtu anampondea tu as if yeye anajua kila kitu 100%

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
yaani hii habari imenisikitisha sana, hapa naandika huku machozi yananitoka maana hawa role models wanavyogombana inawakosesha raha wasichana wadogo ambao they ldolise these two A LISTERS..wapatane bana sio poa

hahahahaha! We nawe unamachozi ya karibu, sasa kinachokuliza nini hasa? Halaf hapo sijana urol modal wowote hapo, ni ushuzi mtupu...
 
Hahaha baby anajitahidi kuimba na hata kuigiza pia. But anachokera ni kutaka yeye kuonekana bora kuliko wenzake. Yani yeye kila mtu anampondea tu as if yeye anajua kila kitu 100%

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ndo hicho anapenda kuonekana bora kuliko wenzie wakat sio kwel
 
Back
Top Bottom