Wanawake wa DSM.Wadada wawili wa mjini ambapo mmoja kazalishwa na mh mbunge na mwingine ndo current girlfriend wa mheshimiwa wako kwenye vita kali ya maneno mpaka mmoja kusema ataita press kuongelea kila kitu kuhusu uhusiano wake na bebi mupya wa mbunge na mbunge pia.
Cha ajabu zaidi ni kwamba mbunge huyo ana mke mzuri mlokole wala hajui matendo anayofanya mumewe mpaka kufikia kugombewa na warembo wadada wa mjini.
Ni ajabu na aibu wanawake wazuri kuanza kukaa kumgombania mume wa mtu tena kwenye mitandao huku mkijivika ulokole.
Nabaki zangu Iringa. Niangusage zambi zako mwenyewe. Nyonyo za mootoo! Black beauties.Mtuvumilie.
Acha wapambane na vyuma vyaoUhalisia kabisa.
Haiwezekani? Jujuman! Noooo!
Nshaelewa..Baby mama bongo movie na miss Shinyanga wa zamani, girlfriend ana duka la nguo maeneo ya Mkwajuni. Bwana wao mbunge kutoka jimbo moja mkoani Singida.
Basi ndo hivyo nimewaza kweli mke wa jamaa akijua mumewe mlokole anakula mademu mpaka wanamgombea atajisikiaje jamani.Nshaelewa..
Dug! Wanawake wapenda vitonga kazi wanayo, wapo tayari kushea, kupangana foleni wangali wanajuana ili tu kuweka heshima mjini! God have mercy!
Wanawake wa DSM mkuuu!Nshaelewa..
Dug! Wanawake wapenda vitonga kazi wanayo, wapo tayari kushea, kupangana foleni wangali wanajuana ili tu kuweka heshima mjini! God have mercy!
TrueNiangusage [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nashukuru nishamjua, mweee mweee jamani hiyo Dhambi si inapelekea kutengwa na kanisa jamani, ila mtu mwenyewe ana history chafu!