Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Wadada wawili wa mjini ambapo mmoja kazalishwa na mh mbunge na mwingine ndo current girlfriend wa mheshimiwa wako kwenye vita kali ya maneno mpaka mmoja kusema ataita press kuongelea kila kitu kuhusu uhusiano wake na bebi mupya wa mbunge na mbunge pia.
Cha ajabu zaidi ni kwamba mbunge huyo ana mke mzuri mlokole wala hajui matendo anayofanya mumewe mpaka kufikia kugombewa na warembo wadada wa mjini.
Ni ajabu na aibu wanawake wazuri kuanza kukaa kumgombania mume wa mtu tena kwenye mitandao huku mkijivika ulokole.