Baby Mama na Girlfriend Wanamgombea Mume wa Mtu

Basi ndo hivyo nimewaza kweli mke wa jamaa akijua mumewe mlokole anakula mademu mpaka wanamgombea atajisikiaje jamani.
Ukute mke kapigwa bit no mitandao ya kijamii vinginevyo angeshajua, au anajua ila inategemea na mwanaume anavyojitetea hasa kama hakuna ushahidi wa red hended
 
Nashukuru nishamjua, mweee mweee jamani hiyo Dhambi si inapelekea kutengwa na kanisa jamani, ila mtu mwenyewe ana history chafu!
Yani ana mambo ya ajabu na aibu. Kipindi hana hela alikua very humble. Sasa hivi kazipata weeeeee mwanaume ndo kawa yeye. Sema anahonga sana bwana acha warembo wampambanie tu.
 
Ukute mke kapigwa bit no mitandao ya kijamii vinginevyo angeshajua, au anajua ila inategemea na mwanaume anavyojitetea hasa kama hakuna ushahidi wa red hended
Mke wake ni wale wanawake wa kilokole ambao ndoa ni kila kitu. Unajua michepuko yote anaitambulishaga kwa wife ili waifu asishtukie jama anaibiwa.
 
Yani ana mambo ya ajabu na aibu. Kipindi hana hela alikua very humble. Sasa hivi kazipata weeeeee mwanaume ndo kawa yeye. Sema anahonga sana bwana acha warembo wampambanie tu.
Mabinti wenyewe sasa duuh hatakama ndio wanafuata hela lakini waache kuchafua ukristu kwa mambo yao ya ajabu, et miss kutoka kwenye familia ya kikristu my foot, atakuwa amedinyana hata na Mchungaji wake huyo mwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…