Baby Mama na Girlfriend Wanamgombea Mume wa Mtu

Baby Mama na Girlfriend Wanamgombea Mume wa Mtu

Smart si ndo huyo anaemdanga sasa. Kwanza anapendaga wanawake wa mjini wale wanaoliwa na wengi ili aonekane na yeye kidume.
Heeee! Ana kinote book? Limbukeni huyo.Kalambwa korodani. Kavutwa uvuzi wa korodani
 
Hivi kwanini wasichana wazuri huwa wanaishia kuzalishwa na kuachwa? Pole nicole always mchepuko utabaki mchepuko tu
28430676_340337466484438_9175002660628070400_n.jpg
 
Yani ana mambo ya ajabu na aibu. Kipindi hana hela alikua very humble. Sasa hivi kazipata weeeeee mwanaume ndo kawa yeye. Sema anahonga sana bwana acha warembo wampambanie tu.
Hao ndio wale wakitoka kwenye ubunge wanaanza kulia lia kuomba msaada, huku sasa hv pesa wanachezea
 
Hapo ni hela tu,ukute Kingu mwenyewe ana kibamia.
Alitoka na rafiki angu. Akaniambia show yake kawaida sanaaaaaa tena sanaa. Maana alikuaga ananitambi show yake kali blah blah. Siku tumetoka na rafiki angu nikamwambia embu kamle hela huyo. Ndo akaniambia hana kitu kabisa
 
Atakua ni yule mbunge fashionista!wana haki ya kuuana kwa kweli ha ha ha..
 
Vyuma vimekaza Best lazima warembo wachakarike hata kuzipiga. Jina la Mbunge itapendeza Mzigua90.

Wadada wawili wa mjini ambapo mmoja kazalishwa na mh mbunge na mwingine ndo current girlfriend wa mheshimiwa wako kwenye vita kali ya maneno mpaka mmoja kusema ataita press kuongelea kila kitu kuhusu uhusiano wake na bebi mupya wa mbunge na mbunge pia.
Cha ajabu zaidi ni kwamba mbunge huyo ana mke mzuri mlokole wala hajui matendo anayofanya mumewe mpaka kufikia kugombewa na warembo wadada wa mjini.
Ni ajabu na aibu wanawake wazuri kuanza kukaa kumgombania mume wa mtu tena kwenye mitandao huku mkijivika ulokole.
 
Anahonga kweli. Siku nitajitoa ufahamu na mimi nile hela zake kwanza hata hataondoka nayo. Nambania toka 2014 wakati wengine wanakula bure tu.
Haaaa.danga che bongo DSM. Umlie timing mzigua! Utakuja na mimba.wanalamba asali na ufuta.
 
Back
Top Bottom