Elibariki sio!
Hii mbona ya kitambo sana na miss Shinyanga alijutia na kusema alimkosea mwenye mume?Baby mama bongo movie na miss Shinyanga wa zamani, girlfriend ana duka la nguo maeneo ya Mkwajuni. Bwana wao mbunge kutoka jimbo moja mkoani Singida.
Smart anajipanua kama kijora cha shughuli kila mtu amuone!Smart si ndo huyo anaemdanga sasa. Kwanza anapendaga wanawake wa mjini wale wanaoliwa na wengi ili aonekane na yeye kidume.
Mbona mbunge alikua baba ake wa kiroho. Mkewe alitambulishwa yule ni binti yao wanaemlea kiroho. Akampeleka SA kurecord album ya dini akarudi na mimbaMabinti wenyewe sasa duuh hatakama ndio wanafuata hela lakini waache kuchafua ukristu kwa mambo yao ya ajabu, et miss kutoka kwenye familia ya kikristu my foot, atakuwa amedinyana hata na Mchungaji wake huyo mwe!
NdioElibariki sio!
MweeMbona mbunge alikua baba ake wa kiroho. Mkewe alitambulishwa yule ni binti yao wanaemlea kiroho. Akampeleka SA kurecord album ya dini akarudi na mimba
Kingu au?Yule mbunge wa Singida eeeh
Jina nimemsahau
ngoja nianza ufukunyukuNooo
Tumekuelewa mubasharaBaby mama bongo movie na miss Shinyanga wa zamani, girlfriend ana duka la nguo maeneo ya Mkwajuni. Bwana wao mbunge kutoka jimbo moja mkoani Singida.
Elibariki kingu huyoBaby mama bongo movie na miss Shinyanga wa zamani, girlfriend ana duka la nguo maeneo ya Mkwajuni. Bwana wao mbunge kutoka jimbo moja mkoani Singida.
[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]Mtuvumilie.
... Sema anahonga sana bwana ...
Haaaahaaa! Amuoneshe mara ngapi?Aisee! Mungu anamlia timing tu huyo MP, atanyoroshwa muda si mrefu