Mmnh wacha wamfanyie ya KinjeEeeh si anatembea na mbunge bwana.
Heeee! Ana kinote book? Limbukeni huyo.Kalambwa korodani. Kavutwa uvuzi wa korodaniSmart si ndo huyo anaemdanga sasa. Kwanza anapendaga wanawake wa mjini wale wanaoliwa na wengi ili aonekane na yeye kidume.
Hao ndio wale wakitoka kwenye ubunge wanaanza kulia lia kuomba msaada, huku sasa hv pesa wanachezeaYani ana mambo ya ajabu na aibu. Kipindi hana hela alikua very humble. Sasa hivi kazipata weeeeee mwanaume ndo kawa yeye. Sema anahonga sana bwana acha warembo wampambanie tu.
Alitoka na rafiki angu. Akaniambia show yake kawaida sanaaaaaa tena sanaa. Maana alikuaga ananitambi show yake kali blah blah. Siku tumetoka na rafiki angu nikamwambia embu kamle hela huyo. Ndo akaniambia hana kitu kabisaHapo ni hela tu,ukute Kingu mwenyewe ana kibamia.
Wadada wawili wa mjini ambapo mmoja kazalishwa na mh mbunge na mwingine ndo current girlfriend wa mheshimiwa wako kwenye vita kali ya maneno mpaka mmoja kusema ataita press kuongelea kila kitu kuhusu uhusiano wake na bebi mupya wa mbunge na mbunge pia.
Cha ajabu zaidi ni kwamba mbunge huyo ana mke mzuri mlokole wala hajui matendo anayofanya mumewe mpaka kufikia kugombewa na warembo wadada wa mjini.
Ni ajabu na aibu wanawake wazuri kuanza kukaa kumgombania mume wa mtu tena kwenye mitandao huku mkijivika ulokole.
Utanitonya basi mkuungoja nianza ufukunyuku
Haaaa.danga che bongo DSM. Umlie timing mzigua! Utakuja na mimba.wanalamba asali na ufuta.Anahonga kweli. Siku nitajitoa ufahamu na mimi nile hela zake kwanza hata hataondoka nayo. Nambania toka 2014 wakati wengine wanakula bure tu.