Baby Mama na Girlfriend Wanamgombea Mume wa Mtu

Hapana. Wivu kwa mwanaume ambae nikimtaka kesho tu nampata maana i swala la kujua alipo. Ningemtaka ningemkula kabla hajakutana na hao wengine wote basi tu kipindi kile alikua kachoka sana (natania hata angekua na hela nisingemla bado)
Jamaako kapiga kelele.Anasema kama anakula bata ni hela yake. Maendeleo kwa wapiga kura yako palepale.
 
Mbona mbunge alikua baba ake wa kiroho. Mkewe alitambulishwa yule ni binti yao wanaemlea kiroho. Akampeleka SA kurecord album ya dini akarudi na mimba
Leo nimeamini Mziguatisini una maneno kilo!
Ijapo wanaoongelewa siwajui, nimeu'like' mtiririko wa uandishi na umenistarehesha vya kutosha.
Umekuwa wa pili, wa kwanza miss natafuta!
Ninavutiwa nanyi sana hadi natamani kuaona 'laivu' shilawadu wa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…