ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Jamaako kapiga kelele.Anasema kama anakula bata ni hela yake. Maendeleo kwa wapiga kura yako palepale.Hapana. Wivu kwa mwanaume ambae nikimtaka kesho tu nampata maana i swala la kujua alipo. Ningemtaka ningemkula kabla hajakutana na hao wengine wote basi tu kipindi kile alikua kachoka sana (natania hata angekua na hela nisingemla bado)