"Baby nishukie kituo gani"

Wanaume wa Dar bana. Mnapagawishwa na vitu vidogo sana. Mademu wa chuga ni masela. Utaona ujumbe uko hivi

"Oi niaje babalaiii, ni mori ni yechu ni marlanya haina gweraa ni full kinyulaa??

Nahamu yakukunyari ile mbaya asee man, kama upo kejo niibuke hizo fasi chaap! Alafu niambie kama una shada au nije nayo. Alafu jana sinimekesha club nilkuwa natupia muwa (kvant) na machalii, leo nahamu na mdudu handsome (kitimoto) na askari magereza (valeur) moko hapo fasi. Nijibu ukisarandia hii text eroo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaleta msongo wa mawazo, ugonjwa moyo ,presha na magonjwa yote yanayoibukaga ghafla

Sent using Jamii Forums mobile app
alafu pia inasaidia kuboost ufanyaji kazi wa ubongo uwe mara 100 zaidi ya kawaida...hapo ndio utaanza kujiona unavyoitwa baba na route za kumsindikiza clinic plus na diapers kuzagaa ndani...na kuanza kujua bei za maLactogen sijui na makorokoro gani hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyo ni demu au ni mwanaume mwenzako hapo hata haina stim
 
[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…