Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hasa akiwa na tako piaBaby nipo kwenye bajaji after 10 minutes I will be there.. Afu ukute dem mpya mkali
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa akiwa na tako piaBaby nipo kwenye bajaji after 10 minutes I will be there.. Afu ukute dem mpya mkali
alafu pia inasaidia kuboost ufanyaji kazi wa ubongo uwe mara 100 zaidi ya kawaida...hapo ndio utaanza kujiona unavyoitwa baba na route za kumsindikiza clinic plus na diapers kuzagaa ndani...na kuanza kujua bei za maLactogen sijui na makorokoro gani hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Hii inaleta msongo wa mawazo, ugonjwa moyo ,presha na magonjwa yote yanayoibukaga ghafla
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mesage naziogopa kama hizo mkuuHii ni balaa.
Alafu kuna " baby nikwambie kitu"
Bila kusahau "siku zangu sizioni"[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha....Hii mesage hua inatibu , ,homa ,kifua,kichomi,magonjwa ya moyo,presure na msongo wa mawazo na magonjwa mengine 87 kwa wanaume.
Mara nyngi hiyo huwa ni mara ya kwanza. First meeting is always an exciting moment.Hii mesage hua inatibu , ,homa ,kifua,kichomi,magonjwa ya moyo,presure na msongo wa mawazo na magonjwa mengine 87 kwa wanaume.
HahhahaaaHalafu hapo bosi kakupa ruhusa ya wiki nzima hutokei kazini,halafu pochi nene.
Pepo zingine zipo hapahapa wallah
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyo ni demu au ni mwanaume mwenzako hapo hata haina stimWanaume wa Dar bana. Mnapagawishwa na vitu vidogo sana. Mademu wa chuga ni masela. Utaona ujumbe uko hivi
"Oi niaje babalaiii, ni mori ni yechu ni marlanya haina gweraa ni full kinyulaa??
Nahamu yakukunyari ile mbaya asee man, kama upo kejo niibuke hizo fasi chaap! Alafu niambie kama una shada au nije nayo. Alafu jana sinimekesha club nilkuwa natupia muwa (kvant) na machalii, leo nahamu na mdudu handsome (kitimoto) na askari magereza (valeur) moko hapo fasi. Nijibu ukisarandia hii text eroo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23]alafu pia inasaidia kuboost ufanyaji kazi wa ubongo uwe mara 100 zaidi ya kawaida...hapo ndio utaanza kujiona unavyoitwa baba na route za kumsindikiza clinic plus na diapers kuzagaa ndani...na kuanza kujua bei za maLactogen sijui na makorokoro gani hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app