Baby, I'm sory leo sitakuja, mama amenituma mjini, Tchaooo. Mwaaaa.Hii mesage hua inatibu , ,homa ,kifua,kichomi,magonjwa ya moyo,presure na msongo wa mawazo na magonjwa mengine 87 kwa wanaume.
Hiyo hua inaongeza hasira ghaflaBaby, I'm sory leo sitakuja, mama amenituma mjini, Tchaooo. Mwaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kihivyo hua unamchenjia sana" kwa nini umekuja bila kunipa taarifa" nisubiri hapo nakuja na ole wako uondoke!!!yaani kitisho kama hicho haondoki ng'oo"Nimefika kwako sijakukuta,nmeulizia wamesema sijui umeenda uwanja" Unaweza Tamani urudishe muda nyuma..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lalamiko LA hivyo unalikuta muda wa saa moja hivi,halafu wwe uko Philips yeye kwao ni Njiro hukoYa kihivyo hua unamchenjia sana" kwa nini umekuja bila kunipa taarifa" nisubiri hapo nakuja na ole wako uondoke!!!yaani kitisho kama hicho haondoki ng'oo
Stim ya nini unataka. Ukipenyesha mkuyenge kwani hamna utamu au?Sasa huyo ni demu au ni mwanaume mwenzako hapo hata haina stim
Hapo sasa pagumTatizo lalamiko LA hivyo unalikuta muda wa saa moja hivi,halafu wwe uko Philips yeye kwao ni Njiro huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa asee huyo alikuzidishia presureUkute ndo anazingua kumbe haji! Niliwahi kusubiri mtu toka Same, napewa location tu, tupo korogwe, tupo wami, tupo chalinze baada ya hapo sim haikupatikana mpaka kesho yake na samahani kibao!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Madem wasio na romance hao hata hujifaidi,demu lazima awe na maneno matamu bwanaSasa huyo ni demu au ni mwanaume mwenzako hapo hata haina stim
Demu akiwa na haiba ya kike anavutia zaidi.Wanaume wa Dar bana. Mnapagawishwa na vitu vidogo sana. Mademu wa chuga ni masela. Utaona ujumbe uko hivi
"Oi niaje babalaiii, ni mori ni yechu ni marlanya haina gweraa ni full kinyulaa??
Nahamu yakukunyari ile mbaya asee man, kama upo kejo niibuke hizo fasi chaap! Alafu niambie kama una shada au nije nayo. Alafu jana sinimekesha club nilkuwa natupia muwa (kvant) na machalii, leo nahamu na mdudu handsome (kitimoto) na askari magereza (valeur) moko hapo fasi. Nijibu ukisarandia hii text eroo
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππalafu pia inasaidia kuboost ufanyaji kazi wa ubongo uwe mara 100 zaidi ya kawaida...hapo ndio utaanza kujiona unavyoitwa baba na route za kumsindikiza clinic plus na diapers kuzagaa ndani...na kuanza kujua bei za maLactogen sijui na makorokoro gani hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app