"Baby nishukie kituo gani"

"Baby nishukie kituo gani"

Ukute ndo anazingua kumbe haji! Niliwahi kusubiri mtu toka Same, napewa location tu, tupo korogwe, tupo wami, tupo chalinze baada ya hapo sim haikupatikana mpaka kesho yake na samahani kibao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa Dar bana. Mnapagawishwa na vitu vidogo sana. Mademu wa chuga ni masela. Utaona ujumbe uko hivi

"Oi niaje babalaiii, ni mori ni yechu ni marlanya haina gweraa ni full kinyulaa??

Nahamu yakukunyari ile mbaya asee man, kama upo kejo niibuke hizo fasi chaap! Alafu niambie kama una shada au nije nayo. Alafu jana sinimekesha club nilkuwa natupia muwa (kvant) na machalii, leo nahamu na mdudu handsome (kitimoto) na askari magereza (valeur) moko hapo fasi. Nijibu ukisarandia hii text eroo

Sent using Jamii Forums mobile app
Demu akiwa na haiba ya kike anavutia zaidi.
 
nyingine hii

"baby leo jumapili nipo mwenywe nyumbani mpaka jioni "
 
Back
Top Bottom