mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 221
Haya ndio Yanayojiri mida hii pande za Jiji La Dar Es Salaam, ni ile baby shower ya Blogger Maarufu Shamim Zeze aka Mrs Chonchi, aka Mama wa B2A, aka Mama wa 8020 Fashion,Naona akiwa na Marafiki zake wakaribu Wakipata "Selfie" Kidogo....!
--------------------
YES WALIAMUA KUNIPATIA GIFT VOUCHERS ILI NIKAJISEVIE MWENYEWE….
WALIPOP
DECOR BY PARTYBOX
Nilikuwa na wakati mzuriii saana …..nilienjoyijeee
HAPA NA PALEE
PARENTMATE ndo alikuwa msema Chochote ze MC….
#8020FASHIONSSELFIE
utanitovuga bwana toa mkono alahh
--------------------
DECOR BY PARTYBOX
JIUGONJWAAAAA.……….LOL hii nilikomolewa kisa old Fashion Mum…..eti sitaki jua jinsiiii #Niiiiishiidaaa
kweli mie wakulishwa cake ya kiulizo kweli #basisawaa
GAMES……mshindi utamjua tu
