Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Tena mbona kawaida sana,,, majuu hasa nchi za Scandinavia hospital zote gado mtoto wa king anajifungua chumba mlala hup chumba cha pili.
Hahhhahhhhahhhha hospital za mbele zote kalii haijalishi una pesa au huna pesaa utajifunguliaa pazurii tuu,huko haipo hospital mbayaa, hajambo lakin mpare mwenzio
 
Angekuja na Kiranga mambo yangekua balaaa,et hataki kujichanganya na watanzania wenziee HEEEEEEE anaogopa wataona sehemu alipopangaaaa yaheeeer kuishi kwa maigizo kazi sanaaa,dollar 1500 mbona ndogo jamanii ingekua afadhali dollar 150000 hapo big up lakin 1500 yaan leo lara umejiabishaa kiukwelii hahhhhha ila umenifurahishaa kumuogopaa Nyani Ngabu,wabeba box wamekushushuaaa leoo hahhhhhahhha mbavu sinaa mieeee jamanii lollll
 
Last edited by a moderator:
Hongera, Sumbawanga hospital iko juu hatari. Na tena Mama Salma alipeleka vifaa vya kisasa mwaka jana.
Achana na hao mashauzi ushuzi!

Hahhhhahhha kisa ghorofani na vifaa kibao na usafi wa hali ya juu Us kila mtu anajifungulia pazurii awe maskin au tajirii wote wanajifunguaa pazuriiii tuuu lakini wamerogwaa hukoo chanikaa! !!hee kakosa mashogaa kaona awe na team ya kumsaidiaa kina Mwamy wote wamemkimbiaa Mange hahhhhhhhaaaaa
 
Angekuja na Kiranga mambo yangekua balaaa,et hataki kujichanganya na watanzania wenziee HEEEEEEE anaogopa wataona sehemu alipopangaaaa yaheeeer kuishi kwa maigizo kazi sanaaa,dollar 1500 mbona ndogo jamanii ingekua afadhali dollar 150000 hapo big up lakin 1500 yaan leo lara umejiabishaa kiukwelii hahhhhha ila umenifurahishaa kumuogopaa Nyani Ngabu,wabeba box wamekushushuaaa leoo hahhhhhahhha mbavu sinaa mieeee jamanii lollll

ana matatizo hawezi akawa hafanyi socialization na wenzie ili wacimjue ulimbukeni wake mubaya ili apate wa kumsifia yuko juu wakati stres zimemjaa sasa akishawadaganya wapambe wake wanaamini bila hata kufikiri na hapa jf watu wana detail Nyani ngabu kamalza kila kitu eti anaonewa wivu wamenifurahsha sana kutetea upuzi
 
Last edited by a moderator:
Hahhhhahhha kisa ghorofani na vifaa kibao na usafi wa hali ya juu Us kila mtu anajifungulia pazurii awe maskin au tajirii wote wanajifunguaa pazuriiii tuuu lakini wamerogwaa hukoo chanikaa! !!hee kakosa mashogaa kaona awe na team ya kumsaidiaa kina Mwamy wote wamemkimbiaa Mange hahhhhhhhaaaaa

Me mwanzo nilikuwa nashangaa kwa nini Mange anachukiwa, nilivyomfuatilia nikagundua mashauzi mengi, anajikweza hatari, ana mdomo mchafu.....yani anavyomsimanga Sintah, mbaya anamsema mpaka Mama yake Sintah....eti ooh Sintah hana baba, Yeye mtoto wa kimada mbona hasemwiii?
Ana roho mbaya yule dada....!

Siku hizi kutwa kujifagilia ooh Wema nimemtoa mie....inahuu? Kama ingekuwa rahisi angeenda kugombea mwenyewe basi huo umiss. Mashauzi tuuuu......! Mfyuuuuuuuuuuu!
 
Kazi mnooo wanaigizaaa pesa hawanaaa,,kitu kidogo matangazo miaa wanapendaa kusifiwaaaaa haoooo hahhhhaaaaaa

wanautafta kwa nguvu kujulikana walivozoea kumshushua Sinta wakafikiri ni kote leta point zako wakajibiwa effective waseme nin tena wakati wameumbuliwa
 
Hahhhhahhha kisa ghorofani na vifaa kibao na usafi wa hali ya juu Us kila mtu anajifungulia pazurii awe maskin au tajirii wote wanajifunguaa pazuriiii tuuu lakini wamerogwaa hukoo chanikaa! !!hee kakosa mashogaa kaona awe na team ya kumsaidiaa kina Mwamy wote wamemkimbiaa Mange hahhhhhhhaaaaa

wataacha kumkimbia kwa kujishaua kakosa vyote sasa hao mashabiki ndo ka wapata na wao watetea had mishpa yawatoka utafkiri ye ndo wa kwanza kwenda Usa anafikiri wengne hawajui
 
Heeeer Na dada wa Richard wa BBA mama Linda a.k.a butiful onyinye hapana chezeaaaa kawekwa kwenye list ya madesigner pia atakutana na wanawake matajirii (women of wealth Magazine)wacha weeee kapaishwaaa kwenye hiyo magazinee ya USA mkaogeee kazi kurogaa tu ndio maana hujulikan, hahhhhhhhhhhhaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom