Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Kila mtu ana haki ya kutumia hela zake jamani, mniwachee NI CHOP VI T SHILLINGS VYANGU BONGOLICIOUS,! Mtu chakeeeee! Nguo nazipenda zile mmmh! Mshahara wote wa mwezi huu nanunua NEW COLLECTION YA MY BONGOLICIOUS HALOOOOOOOO,!
Penye ukweli tuseme Mange anajitahidi sana sana kuchakarika hajajibweteka nguo zake nzuri zinavutia kununua
 
Awe anauza huko huko au biashara hailipii kulee hahhahhha mi sivaii tunguo twa hivyo nawaachiaa nyieee
Na sie ndo TWAZIVAAA SI UTANI! Si unajua fashion and tatse zinatofautiana. ? Yale ndo mambo yetu! Hahahahaaaaaaaaa!
 
Penye ukweli tuseme Mange anajitahidi sana sana kuchakarika hajajibweteka nguo zake nzuri zinavutia kununua

MTI WENYE MATUNDA NDO UNAO PIGWA MAWE SIKU ZOTE,! Sintah (MBA HALOOOOOOOOOOOO,) Ni,eazima usemi wako kidogo hapa, ila nakucredit.
 
Na sie ndo TWAZIVAAA SI UTANI! Si unajua fashion and tatse zinatofautiana. ? Yale ndo mambo yetu! Hahahahaaaaaaaaa!

Anauziagaa kwenye maduka ya watuu hahhhahhha lol anawaaibishaaa kwelii
 
hahahahahahahha uwiiiiii mbavu zangu mhhhhhh yale magauni mhhhhhhh mwafataga kuuza sura tu wallah guo leeeefu khaaaa kisa cha kujiizeesha hahaha ukipita waonekana wakuja anawapata wapenda sifa usikute mnanunua na kutinga hamtingi
Jamani SI PESA YETU TWANUNULIA.? KWA RAHA ZETU,!
 
MTI WENYE MATUNDA NDO UNAO PIGWA MAWE SIKU ZOTE,! Sintah (MBA HALOOOOOOOOOOOO,) Ni,eazima usemi wako kidogo hapa, ila nakucredit.

Matunda yake machungu nani ayapige mawe au kuyatunguaaa heroooo
 
Awe anauza huko huko au biashara hailipii kulee hahhahhha mi sivaii tunguo twa hivyo nawaachiaa nyieee

umeona eeeeeh dina laki moja unapata vigauni viwili bomba maduka ya kino kitu kipyaaaaaaa
lakini mtu anatoa$$$$$ zake kujionyesha na kutaka kurushwa kwenye blog ya mama boke lol hayo magauni sasa yananiachaga hoi ni marefuuuuuu tolu ana afadhali
 
Anauziagaa kwenye maduka ya watuu hahhhahhha lol anawaaibishaaa kwelii
Hapa Bongo anauzia nyumbani upanga pale! Kwani katulaImiaha si tumetaka wenyewe? Tena TWAPANGA FOLLENI KABISAAA NA UKICHELEWA UNAKOSA,!
 
hahahaha hongera taratibu basi mkamue kihuruma my kaka lol

Aaaa matunzo tuu na maloveeee hataki niungue juaa miee ntakua mweusiii,hataki nizunguke kununua vitu niuzeee maana umachinga siuweziiiiiiiii
 
umeona eeeeeh dina laki moja unapata vigauni viwili bomba maduka ya kino kitu kipyaaaaaaa
lakini mtu anatoa$$$$$ zake kujionyesha na kutaka kurushwa kwenye blog ya mama boke lol hayo magauni sasa yananiachaga hoi ni marefuuuuuu tolu ana afadhali

Hahhhahhhahhha aisee umenivunja mbavuu tunguo twa ajabuu tu kisa wakajitambulishe warushe kwenye blog watu wanajua kujipendekezaaaa sijapata onaaaa
 
hahaha hongereni mi vingine namsapoti kimtindo mange lakini yale magauni ya kitenge mhhhh najiulizaga mtu ananunua avae wapi
Mimi magauni ndo namsapoti sanaa coz kuna baadhi anashonea huku bongo, watoto wa mafundi cherehani nao wanawnda msalani si haba! Uchumi nao kidogo mashallah!
 
hahaha hongereni mi vingine namsapoti kimtindo mange lakini yale magauni ya kitenge mhhhh najiulizaga mtu ananunua avae wapi

Na Mie nilikuwa najiuliza hivyo hivyo ila baada ya one time kwenda huko nchi za wenzetu aisee bidada anasoko hasa kipindi cha summer vile vikaptula vya vitenge na vigauni anauza kweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…