Kafanye? Tupe maumbeaMtaa wa pili wivu umemkaba. Na bado Linda anamkimbiza vibaya. Haa haaa haaaa nani kanuna??? NGEMA!!!!!!
Salama aisee
Za kwako????
Ila nijibu swali aisee
Wapiiii Kimambi ivi alifanyaga baby shower.
Wapiiii Kimambi ivi alifanyaga baby shower.
Wooow...nice...we ndio yupi huyo?
we nae mbn kule kwa umukagame ulivyockia anataka kutupia picha yako ukaomba poo
Mrs SEMBE,alimwacha mmewe wa ujana wake kisa mr Sembe,pesa ndo kila kitu,
Mtaa wa pili wivu umemkaba. Na bado Linda anamkimbiza vibaya. Haa haaa haaaa nani kanuna??? NGEMA!!!!!!
hahhaaaaaaa Mr sembe anamsubiria mdada wa US alisema akirudi
ama zake au za bidada
Kubabake hakufanya baby shoewer ili mumpe FAKE ZONE UCHAFU UCHAFU WENU! Thubutuuuuuu! Amefanya matusi shamim anapanga folleni miaka 8000000!Wapiiii Kimambi ivi alifanyaga baby shower.
Mrembo by Nature umepotelea wapi mpenzi?
Kubabake hakufanya baby shoewer ili mumpe FAKE ZONE UCHAFU UCHAFU WENU! Thubutuuuuuu! Amefanya matusi shamim anapanga folleni miaka 8000000!
Kuzalia SINAI CEDARS MCHEZO. ? Walipozalia Kim K, Queen Bey et al!ntena deluxe room! Maza fantaaaaaa! Akavuta na stroller ya $1500 watu KIMYAAAAAAAAA,!
Mama mzungu japo anajikamua ila za uso anatoa vibaya mno!
Wapiiiiiiii! Mbona wabongo wengine hawaendi SINAI CEDARS na wao kama kina Kim K? Ingekuwa dezo wangejazanaje sasa? Mpaka rate wakagoogle kubabake!Hahhhahhhhahhhha hospital za mbele zote kalii haijalishi una pesa au huna pesaa utajifunguliaa pazurii tuu,huko haipo hospital mbayaa, hajambo lakin mpare mwenzio