Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Hahhhahhhhahhhha hospital za mbele zote kalii haijalishi una pesa au huna pesaa utajifunguliaa pazurii tuu,huko haipo hospital mbayaa, hajambo lakin mpare mwenzio
Tena mbona kawaida sana,,, majuu hasa nchi za Scandinavia hospital zote gado mtoto wa king anajifungua chumba mlala hup chumba cha pili.
Kazalia sumbawanga hospital
Hongera, Sumbawanga hospital iko juu hatari. Na tena Mama Salma alipeleka vifaa vya kisasa mwaka jana.
Achana na hao mashauzi ushuzi!
Usupa staa wa Bongo bwana kazi sana
Hongera, Sumbawanga hospital iko juu hatari. Na tena Mama Salma alipeleka vifaa vya kisasa mwaka jana.
Achana na hao mashauzi ushuzi!
Hahhhhahhha kisa ghorofani na vifaa kibao na usafi wa hali ya juu Us kila mtu anajifungulia pazurii awe maskin au tajirii wote wanajifunguaa pazuriiii tuuu lakini wamerogwaa hukoo chanikaa! !!hee kakosa mashogaa kaona awe na team ya kumsaidiaa kina Mwamy wote wamemkimbiaa Mange hahhhhhhhaaaaa
Mmmh hapa mi bubu sijui kitu, wala hao watu siwajui niliemjua hapo ni mboni tu....Evelyn Salt wapiiiiii njoo hukuu bwanaa kuna rahaaaaaa,kweliiii
Angekuja na Kiranga mambo yangekua balaaa,et hataki kujichanganya na watanzania wenziee HEEEEEEE anaogopa wataona sehemu alipopangaaaa yaheeeer kuishi kwa maigizo kazi sanaaa,dollar 1500 mbona ndogo jamanii ingekua afadhali dollar 150000 hapo big up lakin 1500 yaan leo lara umejiabishaa kiukwelii hahhhhha ila umenifurahishaa kumuogopaa Nyani Ngabu,wabeba box wamekushushuaaa leoo hahhhhhahhha mbavu sinaa mieeee jamanii lollll
Hahhhhahhha kisa ghorofani na vifaa kibao na usafi wa hali ya juu Us kila mtu anajifungulia pazurii awe maskin au tajirii wote wanajifunguaa pazuriiii tuuu lakini wamerogwaa hukoo chanikaa! !!hee kakosa mashogaa kaona awe na team ya kumsaidiaa kina Mwamy wote wamemkimbiaa Mange hahhhhhhhaaaaa
Me mwanzo nilikuwa nashangaa kwa nini Mange anachukiwa, nilivyomfuatilia nikagundua mashauzi mengi, anajikweza hatari, ana mdomo mchafu.....yani anavyomsimanga Sintah, mbaya anamsema mpaka Mama yake Sintah....eti ooh Sintah hana baba, Yeye mtoto wa kimada mbona hasemwiii?
Ana roho mbaya yule dada....!
Siku hizi kutwa kujifagilia ooh Wema nimemtoa mie....inahuu? Kama ingekuwa rahisi angeenda kugombea mwenyewe basi huo umiss. Mashauzi tuuuu......! Mfyuuuuuuuuuuu!
Kazi mnooo wanaigizaaa pesa hawanaaa,,kitu kidogo matangazo miaa wanapendaa kusifiwaaaaa haoooo hahhhhaaaaaa
Hahhhhahhha kisa ghorofani na vifaa kibao na usafi wa hali ya juu Us kila mtu anajifungulia pazurii awe maskin au tajirii wote wanajifunguaa pazuriiii tuuu lakini wamerogwaa hukoo chanikaa! !!hee kakosa mashogaa kaona awe na team ya kumsaidiaa kina Mwamy wote wamemkimbiaa Mange hahhhhhhhaaaaa
wataacha kumkimbia kwa kujishaua kakosa vyote sasa hao mashabiki ndo ka wapata na wao watetea had mishpa yawatoka utafkiri ye ndo wa kwanza kwenda Usa anafikiri wengne hawajui
Niwe maarufu mara ngapi? Hahahaaaaa! So FUNNY,!