qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Jamanii hivii Linda ana blog kama anayo mnuambie kule namchamba kimavii tu
Wapiiiiiiii! Mbona wabongo wengine hawaendi SINAI CEDARS na wao kama kina Kim K? Ingekuwa dezo wangejazanaje sasa? Mpaka rate wakagoogle kubabake!
Kubabake hakufanya baby shoewer ili mumpe FAKE ZONE UCHAFU UCHAFU WENU! Thubutuuuuuu! Amefanya matusi shamim anapanga folleni miaka 8000000!
Kuzalia SINAI CEDARS MCHEZO. ? Walipozalia Kim K, Queen Bey et al!ntena deluxe room! Maza fantaaaaaa! Akavuta na stroller ya $1500 watu KIMYAAAAAAAAA,!
Mama mzungu japo anajikamua ila za uso anatoa vibaya mno!
Hivi kibongo bongo ukienda Agha Khan, Hindu Mandal n.k unapesa eeh wakati kuna watu ni ma office Messenger tu ila ofisi yao inabima za AAR au Jubilee mf na hao hata wakienda kutibiwa Agha Kan wataonekana wanazo na kuwaponda watumishi wa Umma wanaotibiwa na NHIF Mwananyamala lol!
Si kaandika aina, model na edition, pamoja na nchi ilipotegenezwa na picha juu ya ushahidi ALL WE HAD TO DO IS GOOGLE,! Siku hizi dunia iko kiganjani. Hata kama alijibana miezi 4 alinunua lakini! Lol!Lol! Hivi alipiga picha hiyo risiti ya Stroller ya $1500, tuache kuamini kila yaandikwayo jamani mweh. Hata akinunua La kuchumpa mtajuaje? Kama kawapiga fix.
Lol! Hivi alipiga picha hiyo risiti ya Stroller ya $1500, tuache kuamini kila yaandikwayo jamani mweh. Hata akinunua La kuchumpa mtajuaje? Kama kawapiga fix.
Wapiiiiiiii! Mbona wabongo wengine hawaendi SINAI CEDARS na wao kama kina Kim K? Ingekuwa dezo wangejazanaje sasa? Mpaka rate wakagoogle kubabake!
Mange anadai kama siyo yeye Wema asingefika hapo alipofika eti asingejulikana. Wema ana uzuri wake wa kuzaliwa na pia ana bahati ya kupendwa kwa hiyo hata bila ya huyo Mange WEMA angeshine tu. Asijishaue hapa, anapenda sifa kama nini. Mtu mwenyewe kakomaa kama Rambo. MXIUUUUUU.
Weeeeeeeee! Wabongo wenyewe karatasi hawana nfo watakuwa na Diamond package za kufanya show off? Hata kibongobongo wote tunatibiwa Aghacan ila package za insurance zinatogautiana, wrngine wanapima malaria tu! Nyoooooo! IF YOU GOT IT FLAUNT IT,!kule wanatumia insurance mbona Usa hospital zote ni nzuri tu kwa huduma wabongo weng wanaendaga sema hawafanyi matangazo
Kwani hawapatanii na Shamimuu!!
Hahaaaaaa! Umeenda kibahati bahati au kwa kujipanga BOTTOM LINE IS UMENDA NA MAJORITY WATAISIKIA KWENYE BOMBA
Tupe udhahidi alidaiwa 800,000 maneno matupu hayavunji mfupa! Mernzeni zungu kaliloga lile afu xungu limetoka maisha bora, sio wabongo wengine mnaolewa na wapopo, na black wrnzenu mnakuwa mashauzi hamuwezi kabisaaaa!Maisha anayoishi ni kawaida mnoo alidaiwa laki 8 alipomaliza kujifunguaa,yaan ni sawa na kwa Dr.kilonzo wa Mwanza haipishanii hahahhhhahhhhahha
Hahaaa aache basi mashauzi na ako kabima kake kelele kutwa nzima wakati malipo yenyewe ni ya makato ya mwezi.
IF YOU GOT IT FLAUNT IT, ! Kama mnaweza nendeni na nyie SINAI mjibu mapigo. Iga ufe pale! Kasoro Mwamy tu ndo anamuwezea kumjibu.
We ndo meneja wake anakulipa ngapi kwa mwezi?
Hahaaaaaaaa! Mimi ni SHABIKI MAANDAZI NATIWA HAMIRA KIDOGO NAUMUKA SINIA ZIMA, ! Upo hapo bibi?We ndo meneja wake anakulipa ngapi kwa mwezi?