Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Kimange chenyewe kina wivu kimegombana na mashoga zake wote kuanzia Kisa, Mwamy, Pilot Hilda na wengine kibao kisa wivu na mashauzi yasiyo na kichwa wala miguu.
YOU CANT BE FRIENDS WITH SOMEONE WHO WANTS YOUR LIFE ,! by Oprah Winfrey
 

Yeye mwenyewe alisemaaa si kila kidogo anatangazaa,kina K lyn kimyaa mambo makubwaa hatare na yupo bongoo,na kwa nini wanahama hamaa mzungu ana kazi ganii yulee hahhhahhahha kuna wabongo wana pesaa hata mmewe hata robo hagusiiiii,na siku zote wenye nazo hua kimyaaaaa angekua na pesa angehangaika na vitengee acha hizo Lara yaan,hebu tuambiee ana asset zip hapa bongo ?????tofauti na nyumba ya urithi tena ina ugomvi ndio maana anafikiaa hotelii,umeona kitu alichoshushaa Millen ???
 
Weeeeeeeee! Wabongo wenyewe karatasi hawana nfo watakuwa na Diamond package za kufanya show off? Hata kibongobongo wote tunatibiwa Aghacan ila package za insurance zinatogautiana, wrngine wanapima malaria tu! Nyoooooo! IF YOU GOT IT FLAUNT IT,!

sasa unataka kusema nini hvo vitu vya kawaida eti hospital aliyojifungulia kim huyo ndo ulimbukeni angekuwa nazo aanzishe basi ma botique kama ya kina kardashian to me mange wa kawaida sana honestly wenye nacho wapo kimya K- lyn mwenyewe hamkamati angekuwa anatembeza vitenge awe ana viuzia huko basi malimbukeni bwana
 
Jamani tuambieni wenzenu hiyo blog ya Linda tuwe tunaingia kushangaa huko
 
Beyonce alikod hospitali nzimaa,na yule pesa kwake ni chafuu,je huyo bibi mkomao alikodiii hospital yotee hahhhahhhahha team zakee maskin mnooo

Atambeee yule labda angekodi tu vyoo vya pale maana ubavu hana ila tu hiyo bima inambeba.
 
Nyonyo ileeeee

Kwapa limeloa jasho
 

Attachments

  • 1398784269637.jpg
    38.9 KB · Views: 511
Asante make up

Si chunusi hizo

Ila alipendeza

Ingawa naona wamezeeka kweli miaka inakwenda
 

Attachments

  • 1398784357002.jpg
    35.2 KB · Views: 471
Duu hapa leo jamani




YAANI NIMEAMINI MANGE ANAKUBALIKA BONGO KIASI KWAMBA WANAWAKE WENZAKE WANAJIKUTA WANAMUONGELEA KILA WANAPOPATA CHANCE WERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MANGE JUUUUUUU, MUKE YA MUZUNGU MBUNGE WA KAWE MTARAJIWA πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:
 
BIDADA HAPO JUU KAJICHUBUAAAAAAAAAAAAAAAA MWE MWE MWE MWE1 :embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2:
 
Huku naona ni Mange tu!
Wapi pics za Zeze
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…